Muuguzi aliyeibuka bora zaidi Kenya
Bi Anab Mohamed ni muuguzi ambaye amekuwa akiwahudumia wagonjwa eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya kwa miaka 27 na alituzwa kama muuguzi bora nchini kenya mwaka 2010.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili13 May
Virusi vya corona: Muuguzi wa Kenya asimulia alivyotengwa kwa kuwahudumia wagonjwa wa corona
Kumekuwa na unyanyapaa dhidi ya wahudumu wa afya wanaoshughulikia wanaougua corona na wale waliopona.
10 years ago
GPL
TAZAMA PICHA ZA NYANGUMI ALIYEIBUKA PWANI YA MTWARA
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi ukiwa katika pwani ya Bahari ya Hindi mkoani Mtwara baada ya kuvutwa ukielea majini na wavuvi wa Kata ya Msangamkuu. Mzoga huo una urefu wa futi 48 na uzito unaokadiriwa kuwa zaidi ya tani 30. Wananchi kutoka katika Kata ya Msangamkuu,…
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Ni ipi filamu bora zaidi ya 2013?
Filamu ''12 Years a Slave'', ni miongoni mwa filamu zinazopigiwa upatu kupata tuzo la filamu bora zaidi katika tamasha la filamu bora zaidi la Uingereza
11 years ago
BBCSwahili09 Jan
Nani mwanasoka bora zaidi Afrika?
Yaya Toure na Didier Drogba, na John Obi Mikel wa Nigeria leo watajua nani kati yao atatwaa tuzo la mchezaji bora wa kandanda barani Afrika
11 years ago
BBCSwahili02 Dec
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Messi bora zaidi katika kandanda
Nyota wa Barcelona Lionel Messi amesifiwa kuwa 'mchezaji bora zaidi katika historia ya kandanda', anasema rais Josep Maria Bartomeu.
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Picha ya wahamiaji ndio bora zaidi
Mpiga picha Mmarekani John Stanmeyer ameshinda shindano la picha bora zaidi mwaka 2014 kwa picha yake ya wahamiaji Djibouti.
10 years ago
BBCSwahili24 Nov
Casillas kuwania tuzo ya kipa bora zaidi
Kipa wa Real Madrid na Uhispania Iker Casillas ameorodheshwa kuwania tuzo ya FIFA ya kipa bora zaidi duniani licha ya mchezo wake duni
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
19-February-2025 in Tanzania