Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mviwata: Elimu duni hupoteza chakula

ELIMU duni kwa wakulima imeelezwa kuwa chanzo cha upotevu wa chakula kuanzia hatua ya uvunaji, usafrishaji, ukaushaji, uchambuaji na maadalizi hadi kuhifadhi kwenye maghala ya chakula. Hayo yamo kwenye taarifa ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Elimu duni inawaathiri masikini duniani

Shirika la umoja wa mataifa la Utamaduni , UNESCO, limeonya kuwa viwango vya chini vya elimu duniani vinawakosesha watoto uwezo wa kusoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Elimu duni huwaathiri wabakwaji kukosa haki

KWA mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu – Penal code CAP 16  R.E2002; neno kubaka lina maana pana ukilinganisha inavyofahamika kwa watu wengi. Mtu atahesabika kuwa ametenda kosa la...

 

5 years ago

Michuzi

LISHE NA ELIMU DUNI SABABU KUBWA YA UDUMAVU IRINGA




Mkurugenzi wa kiwanda cha kuzalisha Unga wa sembe wenye viini lishe cha AMP Super Sembe, Alfred Mpanga akizungumza kuhusu uzalishaji wa unga wenye viini lishe unaosaidia jamii kupambana na udumavu na utapiamlo
Afisa Lishe wa Mkoa wa Iringa, Neema Mtekwa akizungumza na wanahabari hawapo pichani katika mahojiano maaluma kuhusu hali ya lishe mkoa wa Iringa. (Picha na denis Mlowe)

………………………………………………..

NA DENIS MLOWE,IRINGA

LISHE duni kutokana na wananchi kutokuwa na elimu ya ulaji wa vyakula vya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Elimu duni, siasa zinavyomaliza misitu Kanda ya Mashariki

UPANDAJI miti, ni zoezi linalotakiwa kupewa kipaumbele nchini, kwani miti inasaidia kuzuia mafuriko na inazuia mmomonyoko wa ardhi. Wananchi wamekua wakihamasishwa kupanda miti hata katika maeneo ya nyumbani kwao, wanaokata...

 

10 years ago

Mwananchi

Elimu duni yakwaza kilimo cha ufuta Tandahimba

Baada ya kupata mafanikio ya wastani katika kilimo cha ufuta, wakulima wa zao hilo, ambao wengi ni wale wanaohama makazi yao kwa muda kutoka Wilaya ya Tandahimba, Mtwara kwenda Lindi kwa ajili ya zao hilo, sasa wanalilia elimu ili waweze kupata mafanikio makubwa zaid

 

11 years ago

Habarileo

Elimu duni ya kondomu yachagiza maambukizi mapya ya VVU

TAFITI zimebaini kwamba vijana hawatumii kondomu kwa madai ya kutopata ladha wakati wa kufanya mapenzi.

 

9 years ago

StarTV

Maendeleo duni ya elimu Jamii yadaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa

Sekta ya elimu wilayani Geita inakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazorudisha nyuma maendeleo ya sekta jamii ikidaiwa kuchangia kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya kutokuwa na utayari wa kushirikiana na Serikali kuondoa mapungufu yaliyoko ndani ya uwezo wao.

Utafiti uliofanywa na shirika la Nelico kwa ufadhili wa Pestalozzi Children’s Foundation imebaini mazingira yasiyo rafiki kama ubovu wa miundombinu, ukosefu wa vyoo bora na upungufu wa madawati na vyoo bado kikwazo kikubwa ambacho...

 

11 years ago

Dewji Blog

Elimu duni na isiyo sahihi ya matumizi ya Kondomu inachangia maambukizi mapya ya VVU kwa Vijana

DSC_0084

Afisa Mradi wa Elimu ya Afya na VVU/UKIMWI kutoka UNESCO, Bw. Herman Mathias akizungumza na washauri wa Vikundi vya Vijana wasikilizaji juu ya masuala muhimu kuhusiana na kuzuia maambukizi ya VVU na Afya ya Uzazi kwa Vijana wenye umri kati ya miaka 15-24 katika warsha ya kuwajengea uwezo washiriki hao katika matumizi ya mwongozo wa ufuatiliaji wa vipindi kwa wasikilizaji walengwa wa Mradi wa SHUGA Redio inayofanyika kwenye kituo cha Redio Nuru FM mjini Iringa.(Picha zote na Zainul Mzige wa...

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani