Mvua yaahirisha mchezo
Mchezo wa kuwania kufuzu kwa kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina umehairishwa kutokana na mvua nyingi kunyesha.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Nov
Mvua yasababisha kuahirishwa mchezo wa Brazil na Argentina
![Argentina Brazil WCup Soccer](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/2E648AD200000578-0-image-a-240_1447372952065-300x194.jpg)
Mechi ya kuwania kufuzu kombe la dunia kati ya Brazil na Argentina imeahirishwa sababu ya mvua nyingi kunyesha.
Mchezo huo iliokuwa uchezwe usiku wa Alhamisi katika uwanja wa Estadio Antonio Vespucio Libert, mjini Buenos Aires sasa utachezwa Ijumaa usiku.
Sehemu ya kuchezea ya uwanja huo ilijaa maji na mashabiki wa soka pamoja na maafisa wa timu ya Brazil walikwama njiani kwenye foleni sababu ya mvua kubwa iliyonyesha.
Kocha msaidizi wa Brazil Gilmar Rinaldi, alisema “tulikutana na maafisa...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
Tamada yaahirisha maandamano
SIKU chache baada ya kuungua moto kwa soko la Mchikichini, Dar es Salaam, wafanyabiashara ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (Tamada), wameahirisha maandamano yaliyopangwa kufanyika kesho. Taarifa iliyotolewa jana na...
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Burundi yaahirisha uchaguzi wa wabunge
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/NILch8FjIRE/default.jpg)
Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo mkali
Waumi ni wa pentekoste mkoani Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg
Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E
Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja...
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Ghana yaahirisha jaribio la chanjo ya Ebola
10 years ago
Mwananchi30 Jun
NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar
9 years ago
BBCSwahili17 Sep
Ndege yaahirisha safari kuokoa mbwa
11 years ago
BBCSwahili12 May
Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi mkuu