Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwadui yaitia pingu Polisi Mara

Timu ya soka ya Mwadui imeishushia kipigo cha mabao 5-1 Polisi Mara kwenye mchezo wa Ligi ya Daraja la Kwanza uliofanyika Uwanja wa Mwadui, Shinyanga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi wamfunga pingu kijana, wamkimbia

MWANAKIJIJI wa Chalangwa, wilayani Chunya, Mbeya, Medi Wailes, ameshinda na pingu mikononi kwa zaidi ya saa nane baada ya polisi waliomfunga kuwakimbia wananchi waliopinga kukamatwa kwa kijana huyo kwa kosa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

9 years ago

StarTV

Polisi Mara yawatia mbaroni watu 72

 

Polisi mkoani wa Mara wamefanikiwa kuwakamata watu 72 kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo kukutwa na misokoto 2800 ya bangi ,Pombe aina ya Gongo,bunduki na Risasi pamoja na pikipiki zilizoporwa kutokana na Oparesheni maalumu ya kupambana na uhalifu na wahalifu zinazoendelea katika wilaya za Bunda,Serengeti,Butiama Na Musoma.

Akizungumza na Vyombo vya Habari mjini Musoma, Kamanda wa jeshi la Polis mkoa wa Mara kamishina Msaidizi wa polisi Phillip Kalangi, amesema kuwa katika Oparation hizo ambazo...

 

11 years ago

Mwananchi

Azam yaitia presha Yanga

>Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema hatma ya ubingwa kwa timu yake itajulikana kesho wakati watakapowakabili vinara wa Ligi Kuu, Azam kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

KwanzaJamii

Dawasco yaitia serikali hasara ya Sh. bilioni 27

Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe, amesema kampuni ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (Dawasco) imeisababishia serikali hasara ya Sh. bilioni 27 kutokana na kutokidhi vigezo katika kusimamia upotevu wa maji. Kutokana na hali hiyo, imeipa bodi mpya ya Dawasco muda wa mwezi mmoja ili kutatua tatizo hilo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, ambayo ni ya tatu kwa Dawasco, Profesa Maghembe alisema hasara hiyo imetokana na kampuni hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Arsenal yaitia aibu Man United

Mshambuliaji Alexis Sanchez amefunga mabao mawili na kuiongoza Arsenal kuichapa Manchester United 3-0 kwenye Uwanja wa Emirates, London.

 

11 years ago

BBCSwahili

Facebook bandia yaitia Marekani matatani

Mwanamke mmoja ameishtaki serikali ya Marekani baada ya kubuni mtandao bandia wa facebook.

 

10 years ago

BBCSwahili

Benki ya China yaitia wasiwasi Marekani

Marekani imeelezea wasiwasi wake kufuatia uamuzi wa Uingereza kuwa nchi ya kwanza Magharibi kujiunga na benki ya China.

 

11 years ago

Michuzi

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani azindua Kituo cha Polisi Natta,Wilayani Serengeti Mkoani Mara

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akizindua rasmi Jengo la Kituo cha Polici cha Natta Wilayani Serengeti huku Mkurugenzi Mkuu wa Grumeti Fund,Bw. Brian Harris akishuhudia. Kituo hicho cha Polisi cha kisasa kimegharimu shilingi Milioni 273 ambazo zimetolewa na Grumeti Fund ikiwa ni pamoja na nyumba za kuishi familia mbili za Polisi na mfumo wa kuvuna maji. Naibu Waziri Mambo ya Ndani,Mh. Pereira Silima akikata utepe kufungua rasmi Kituo cha Polisi cha Natta wilayani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani