Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWAKA WA SABA SASA, BADO MARAFIKI TU! – 2

MAPENZI ni pasua kichwa. Yanaumiza na kuwachanganya wengi. Kwa upande wa pili, mapenzi ni mazuri, matamu na yanasisimua sana. Ni namna ya kujipanga tu. Ukitaka kuwa kwenye mateso au furaha ni wewe tu! Rafiki zangu, tunaendelea na mada yetu iliyoanza wiki iliyopita ambapo leo tunafikia tamati. Nawashukuru wote ambao mnanitumia meseji za kunipongeza kwa darasa ninalotoa. Tunaangalia namna ya kujua penzi la dhati hasa kwa wasichana...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MWAKA WA 7 SASA, BADO MARAFIKI TU!

LOVE & Life ndiyo kolamu inayotukutanisha marafiki kwa ajili ya kujifunza mambo mbalimbali kuhusu uhusiano na maisha. Bila shaka kwa wadau wa kona hii, watakiri kuwa imewabadilisha sana. Kama ndiyo mara ya kwanza kuanza kusoma hapa, napenda kukuhakikishia kuwa hutajutia badala yake utaendelea kujifunza mambo mapya kila siku ambayo yatabadili fikra zako kuhusu uhusiano. Leo nataka kuzungumzia jambo muhimu sana, hasa kwa upande wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMPUNI 1500 TOKA HAPA NCHINI NA 400 TOKA NJE YA NCHI YATARAJIWA KUSHIRIKI MAONYESHO YA SABA SABA MWAKA 2015

 Gari likiwa limebeba takataka katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es Salaam leo.  Mabanda ya maonyesho ya sabasaba yakiendelea kufanyiwa kukarabati kwaajili ya maonyesho yatakayoanza Juni 28 mwaka huu jijini Dar es Salaam.Wazee wa kilimo kwanza wakiwa katika maandalizi ya maonyesho ya sabasaba.  Wanawake nao katika harakati za kuweka mazingira ya kupendeza katika mabanda ya maonyesho ya sabasaba leo jijini Dar es Salaam. Mafundi wakitoa mizigo kwaajili maonyesho ya sabasaba jijini Dar...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nchi sasa gizani siku saba.

NA RESTUTA JAMES 7th September 2015 Shirika la umeme nchini (Tanesco), limetangaza nchi kuingia ‘gizani’ kwa wiki nzima kuanzia leo kutokana na kuzimwa kwa mitambo ya gesi inayozalisha umeme kutoka Songosongo na kuanza majaribio ya gesi […]

The post Nchi sasa gizani siku saba. appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea sasa yaongoza kwa pointi saba

Mourinho amesema kwamba haoni uongozi wa alama 7 juu ya jedwali la ligi ya Uingereza ni fursa ya timu hiyo kushinda ligi

 

9 years ago

Habarileo

Sasa bado Mtibwa, yatambaYanga SC

BAADA ya kuichapa Simba mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu mwishoni mwa wiki iliyopita, Yanga imetuma salam kwa Mtibwa Sugar ikisema itaiangushia kipigo kikali zaidi. Msimu uliopita Yanga ilifungua dimba na Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Jamhuri Morogoro na kufungwa mabao 2-0.

 

11 years ago

Habarileo

Ndoa saba zabarikiwa kwa mpigo ibada ya Mwaka Mpya

NDOA saba zimebarikiwa katika ibada ya Mwaka mpya, iliyofanyika katika Kanisa la la Anglikana la Mtakatifu Yohana Mbatizaji Minyonyoni, Kigogo Luhanga, jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Dewji Blog

Taasisi ya IEP yatoa matokeo ya mtihani wa dini wa darasa la saba mwaka huu

KHAMISI

Na Ally Daud-MAELEZO

Jopo la Elimu ya Kiislamu nchini (IEP) limetangaza matokeo ya wanafunzi waliofanya mtihani wa dini hiyo wa kuhitimu darasa la saba Agosti 12 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi wa jopo hilo Bw. Suleimani Daud alipokuwa akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.

Bw. Suleimani amesema kuwa wanafunzi ambao walifanya mtihani huo idadi yao ilikuwa 86,613 kati ya wanafunzi 93,101 waliojisajili nchini kutoka shule 3094 ambazo wanafunzi walifanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani