Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANA FA: MUZIKI UMENIKUTANISHA NA NUSU YA WATU MUHIMU NCHINI

Stori: Ojuku Abraham
MMOJA wa wasanii wakongwe katika muziki wa kizazi kipya Tanzania ni Hamis Mwinjuma anayefahamika zaidi kwa mashabiki kama MwanaFA. Mwana FA akiangusha pozi. Tokea  aliposikika kwa mara ya kwanza mwaka 2002, alipotoa kibao chake cha Ingekuwa vipi, amebakia kuwa juu, licha ya ushindani mkubwa katika Bongo Fleva.
Kwa kutambua mchango wake katika sanaa, gazeti hili lilifanya naye mahojiano na kuzungumzia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MATUKIO MAKUBWA YA MUZIKI WA DANSI NCHINI KWA NUSU YA KWANZA YA MWAKA 2015

Na Willliam Kaijage
UTANGULIZI (PREAMBLE)•Mwanzoni mwa mwezi wa 7 ndio nusu ya mwaka. Zinakuwa zimepita siku 182 (au 183 kwa mwaka mrefu) na kubaki siku 182.•Yafuatayo ni matukio makubwa ya muziki wa dansi kwa nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2015
BENDI MPYA•Tarehe 31-Jan-2015, BMM Classic Band, ilizinduliwa katika ukumbi wa BMM Mwenge, opposite TRA.•Tarehe 21-Feb-2015,  JJ Band yazinduliwa katika ukumbi wa. JJ Band ni bendi dada ya Skylight Band itakayokuwa inatumbuiza mjini Mwanza katika hotel...

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Vijimambo

WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVOUR WAIKACHA SEMINA MUHIMU YA TCRA

 Nick wa Pili na G-Nako walihudhuria semina hiyoRapper Nick wa Pili ambaye ni mmoja ya wasanii waliolikwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA kwenye semina inayohusu masuala ya uhalifu wa mtandaoni Alhamis hii, ameshangazwa na muitikio hafifu wa wasanii wenzake.Viti vitupu!
Nick amesema kati ya wasanii 70 waliokuwa wamealikwa kwenye semina hiyo, ni chini ya wasanii watano waliohudhuria.
“Tupo katika seminar ya wasanii wa bongo fleva iliyoandaliwa na TCRA….imeuzuriwa na viongozi wa juu na...

 

11 years ago

Mwananchi

Banza Stone: Alianza muziki kwa kuwa mwana Hip Hop 1989

>Kati ya mambo ambayo huenda ulikuwa huyajui, ni kuhusu mwanamuziki wa dansi nchini Ramadhani Masanja, ‘Banza Stone’, mmoja kati ya wanamuziki wa dansi wa kizazi kipya wanaosisimua jukwaani kuwa aliwahi kuwa mwana Hip Hop.

 

10 years ago

Bongo5

Mwana FA: Makampuni tusaidieni kuufanya muziki wetu uwe mkubwa, ni baada ya ushindi wa Diamond

Wasanii mbalimbali wakubwa na wadogo wameendelea kumpongeza Diamond Platnumz kwa ushindi mkubwa alioupata Jumamosi iliyopita baada ya kunyakua tuzo tatu za Channel O (CHOAMVA). Kupitia Instagram Mwana FA ameandika jinsi anavyouchukulia kwa uzito ushindi huo wa Platnumz pamoja na ushauri wake kwa makampuni na wadau katika kuwekeza kwenye muziki. “Sawa…nilikuwa nangoja woooote mmalize ili mnisikilize […]

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)

 Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani  inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu. Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya watu wazima nchi wanatumia simu kwa huduma za kifedha

Matokeo ya utafiti wa FinScope Tanzania 2013 uliozinduliwa mjini Dar es Salaam mwanzoni mwa mwezi huu, yanatoa mwanga kuhusu mitazamo ya watu na tabia kuhusu hali zao kifedha.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kuna uwezekano mkubwa wa watu nusu bilioni kuwa maskini

Utafiti umeonya kwamba janga la corona huenda likasababisha asilimia 8 ya idadi ya watu duniani kuwa maskini.

 

10 years ago

Vijimambo

Nusu ya Watanzania wameshuhudia ubaguzi dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira

Watu binafsi na jamii kwa ujumla wanakiri kuwakosea
heshima watu wenye ulemavu
4 Novemba 2014, Dar es Salaam: Karibu nusu ya wananchi (46%) wameripoti kuwahi kushuhudia ubaguzi  dhidi ya watu wenye ulemavu katika ajira. Wakati huo huo, ni wananchi wawili tu kati ya kumi (17%) waliokiri kufahamu asasi/mashirika yanayotoa upendeleo kwenye suala la kuwaajiri watu wenye ulemavu. Wananchi waliripoti kuwa miongoni mwa mashirika haya asilimia 38 ni taasisi za kiserikali. Vile vile wananchi waliripoti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani