Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANACHUO ABAKWA, AUWAWA NCHINI KENYA

Muonekano wa Chuo hicho.
Mwanafunzi mmoja wa kike kutoka Chuo cha Moi huko Eldoret, Kenya amekutwa amefariki dunia karibu na moja ya hosteli za chuo hicho baada ya kubakwa na kuuwawa kikatili.
Mwanafunzi huyo inasemekana kuwa ni wa mwaka wa tatu chuoni hapo akichukulia masomo ya Sanaa na Sayansi ya Jamii.

Tukio hilo la kinyama, limetokea usiku wa kuamkia leo na bado polisi haijawatia hatiani washtakiwa ama wahusika wa tukio hilo. Habari za mkasa huo zinazidi kuenea kila kona ya chuo, huku...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UNYAMA WA KUTISHA, MWANACHUO ABAKWA, AUWAWA

Muonekano wa Chuo hicho. Mwanafunzi mmoja wa kike kutoka Chuo cha Moi huko Eldoret, Kenya amekutwa amefariki dunia karibu na moja ya hosteli za chuo hicho baada ya kubakwa na kuuwawa kikatili.
Mwanafunzi huyo inasemekana kuwa ni wa mwaka wa tatu chuoni hapo akichukulia masomo ya Sanaa na Sayansi ya Jamii. Tukio hilo la kinyama, limetokea usiku wa kuamkia leo na bado polisi haijawatia hatiani washtakiwa ama wahusika wa tukio...

 

10 years ago

Vijimambo

MWANACHUO MJAMZITO WA GARISSA, KENYA AJIFANYA AMEKUFA KWA SAA 10 KUNUSURU MAISHA YAKE

Mwanachuo Milicent Murugi akiongeaa na wanahabari Picha na Jeff Angote
Mwananfunzi mmoja Milicent Murungi wa chuo kikuu cha Garissa ambaye ni mjamzito wa miezi 8 amesema ilibidi ajifanye amekufa chuo chao kilipovamiwa na wapiganaji wa Al shabab na kuua wanachuo wasiokua na hatia.
Milicent Murungi akiongea na waandishi wa habari alisema ilibidi ajifanye amekufa kwa saa 10 baada ya wenzake waliokua nao kwenye chumba hicho kuawa na yeye kuchukua damu ya mmoja ya wanafunzi kujipaka kichwani wakati...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwanafunzi auwawa katika uvamizi Kenya.

Watu wanaoshukiwa kuwa majambazi wavamia shule ya sekondari ya St. Charles Mutego na kuharibu mali pamoja na kuwajeruhi wanafunzi.

 

10 years ago

CloudsFM

MTUHUMIWA NAMBA 1 WA ‘WESTGATE’ KENYA AUWAWA KWA RISASI

Mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la Westgate,Samantha Lewthwaite ameuawa kwa kupigwa risasi.
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.

Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya 2013, japo mengi ya matukio hayo haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake katika matukio hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

JULIO APATA PIGO, MDOGO WAKE AUWAWA NCHINI AFRIKA KUSINI

Kiungo wa zamani wa Malindi ya Zanzibar, Shaku Kihwelo amefariki dunia baada ya kumwagiwa maji na mtu mmoja aliyetambulika kuwa ni raia wa Zimbabwe.Kiungo huyo ambaye ni mdogo wa Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo amefariki dunia nchini Afrika Kusini na tayari tayaribu za kuleta mwili wake nchini kwa ajili ya mazishi zimeanza.Kaka yake mwingine, Mwanamtwa Kihwelo amethibitisha kuhusiana na kifo cha mdogo wake huyo aliyewahi pia kuichezea Twiga FC.
"Kweli alimwagiwa maji na huyo Mzimbabwe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanachuo afa maji

MWANAFUNZI wa Chuo cha Utumishi jijini Dar es Salaam, Deus Josephat (21), mkazi wa Mjimwema, amefariki dunia alipokuwa akiogelea na wenzake ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Maweni Beach...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Watanzania 2 wazuiwa kuingia nchini Kenya huku idadi ya wagonjwa Kenya ikifikia 715

Raia wawili wa Tanzania wamezuiwa kuingia nchini Kenya katika mpaka wa Isibania baada ya kukutwa na virusi vya corona, kulingana na wizara ya afya nchini humo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanachuo Udom jela miaka sita

>Mahakama ya Wilaya ya  Ilala imemhukumu kifungo cha miaka sita jela, Melkiad Kabunduguru(28) baada ya kupatikana na hatia ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kukutwa na noti bandia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani