Mwanafunzi auwawa katika uvamizi Kenya.
Watu wanaoshukiwa kuwa majambazi wavamia shule ya sekondari ya St. Charles Mutego na kuharibu mali pamoja na kuwajeruhi wanafunzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili14 Feb
Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia
10 years ago
Vijimambo22 Feb
MWANACHUO ABAKWA, AUWAWA NCHINI KENYA

Mwanafunzi mmoja wa kike kutoka Chuo cha Moi huko Eldoret, Kenya amekutwa amefariki dunia karibu na moja ya hosteli za chuo hicho baada ya kubakwa na kuuwawa kikatili.
Mwanafunzi huyo inasemekana kuwa ni wa mwaka wa tatu chuoni hapo akichukulia masomo ya Sanaa na Sayansi ya Jamii.
Tukio hilo la kinyama, limetokea usiku wa kuamkia leo na bado polisi haijawatia hatiani washtakiwa ama wahusika wa tukio hilo. Habari za mkasa huo zinazidi kuenea kila kona ya chuo, huku...
10 years ago
CloudsFM13 Nov
MTUHUMIWA NAMBA 1 WA ‘WESTGATE’ KENYA AUWAWA KWA RISASI
Mtuhumiwa namba 1 wa kesi ya mashambulizi ya jengo la Westgate,Samantha Lewthwaite ameuawa kwa kupigwa risasi.
Taarifa zinasema mtuhumiwa huyo ambaye alikuwa akifahamika kama “White Widow” ameuawa Ukraine katika mapambano ambapo alikuwa akipambana upande wa kikosi cha wapiganaji wa Aidar.
Samantha amekuwa akituhumiwa kuhusika na matukio kadhaa ya mashambulizi ikiwemo la Westgate Kenya 2013, japo mengi ya matukio hayo haikuwahi kuthibitika juu ya ushiriki wake katika matukio hayo.
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Uvamizi katika chumba cha habari Ufaransa
10 years ago
MichuziNAIBU IGP AWAJULIA HALI ASKARI WALIOJERUHIWA KATIKA TUKIO LA UVAMIZI KITUO STAKISHARI, UKONGA
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Mwalimu amuua mwanafunzi Kenya
10 years ago
BBCSwahili13 Jan
Google yamtuza mwanafunzi ajuza Kenya
10 years ago
BBCSwahili03 Jan
Mwanafunzi jela kwa kumtusi rais Kenya
10 years ago
BBCSwahili13 Oct
Chuo kikuu chafungwa baada ya mwanafunzi kufariki Kenya