Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanamke adai kunyimwa urithi kwa kuishi na VVU

MWANAMKE mmoja mkazi wa Kimandolu jijini Arusha, Suzy Mrema (40) anayeishi na virusi vya Ukimwi amedai kutengwa na ndugu zake, ikiwa ni pamoja na kunyimwa urithi wa mali za marehemu baba yao kwa madai ya kuwa yeye ni marehemu mtarajiwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kuishi na mtoto mwenye vvu-1

Wiki iliyopita tuliona uchunguzi na matibabu kwa mtoto mwenye virusi vya Ukimwi, leo tunaendelea na mada hiyo na tutaangalia jinsi ya kuishi na mtoto wa mwenye VVU.

 

10 years ago

GPL

JINSI YA KUISHI NA MWANAMKE MZURI BILA PRESHA!

Kibinadamu tunasema hakuna mwanamke mzuri na mbaya. Wote ni sawa na yule ambaye unamuona kwako ni mzuri, huenda kwa mwenzako akawa mbaya.Hata hivyo, wapo wanawake ambao kiuhalisia ni wazuri na hata wenzao wanakiri kwamba Mungu kawapendelea.
Uzuri ninaouzungumzia hapa ni ule wa sura na umbo. Wapo ambao wamejaaliwa kuwa na figa bomba kiasi kwamba kila mwanaume anatamani ampate. Linapozungumziwa suala la kuoa, wanaume wengi sasa...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI ELIMU YA VVU NDIO DAWA YA KUONDOA UNYANYAPAA KWA WATU WANAOISHI NA VVU NCHINI

Na Ahmed Mahmoud, Arusha
Serikali imeeleza kuwa suala la elimu ya masuala ya vvu kwa jamii ni jambo endelevu na linatakiwa kuendelea kutolewa hususani kwenye suala la unyanyapaa ambalo limendelea kushika kasi kwa watu wanaoishi na maambukizi ya ukimwi.

Akiongea kwenye mkutano wa viongozi wa dini na madhehebu mbalimbali ulioandaliwa na Bunge na Baraza la watu walioishi na VVU Spika wa bunge Job Ngugai alisema kuwa katika umoja wao viongozi wa dini wanauwezo wa kuvunja ukimya kuondoa ubaguzi na...

 

11 years ago

Habarileo

Achinja mke kwa kunyimwa unyumba

MTU mmoja mkazi wa wilayani Nzega mkoani Tabora, Juma Kiyabo (45) amempiga kisha kumchinja shingo mkewe, Wande Monera (34) na yeye kujaribu kujiua kwa kujikata koromeo lake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watishia kutopiga kura kwa kunyimwa ardhi

BAADHI ya wakazi wa Mtaa wa Kidimu, Kata ya Pangani, mkoani Pwani, wamesema hawatashiriki kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni endapo jirani zao wa Mtaa wa Vingunguti...

 

10 years ago

Mtanzania

Rais wa Gabon atoa urithi kwa umma

Gabon-Ali-Bongo-OndimbaNa Mwandishi Wetu, Mashirika ya Habari

RAIS wa Gabon, Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa sehemu kubwa ya urithi alioachiwa na marehemu baba yake, Omar Bongo kwa vijana wa taifa hilo.

“Kwa macho yangu, sote tu warithi wa Omar Bongo,” Rais alisema wakati akilihutubia taifa jana ikiwa sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa nchi hiyo.

Kiasi rasmi cha urithi wa baba yake ambaye alitawala taifa hilo kwa miaka 41 hadi alipofia madarakani mwaka 2009, bado hakijajulikana, lakini ameripotiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjane aliyeinuka kimaisha kwa kuuza ng’ombe wa urithi

Ni katika Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane vya John Mwakangale jijini Mbeya ndipo mjane Doroth Myunga anaeleza machungu ya maisha aliyokumbana baada ya kufiwa na mume wake mwaka 2005.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Gabon ametoa urithi wake kwa umma

Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba ameahidi kutoa urithi wake wote kwa vijana nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani