Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE ALIPA MILIONI 33 KUONGEZEWA TITI LA TATU

Jasmine Tridevil katika pozi . MWANAMKE aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil (siyo jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na kuongezwa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni. Jasmine ambaye ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 sawa na milioni 33.4 za Tanzania kufanyiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

AWAMU YA TATU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAJILI YA KUMKOMBOA MWANAMKE WA KITANZANIA YAANZA DAR

 Washiriki wa Mafunzo hayo wakisikiliza kwa Makini Mafunzo hayo..

Awamu ya Tatu ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanza leo. Wanawake 35 wa jiji la Dar es salaam Watanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya Biashara Bw Felix Maganjila na Shekha Nasser. Mafunzo haya yenye lengo la kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana na tatizo la ukossefu wa ajira kwa kujikita katika kujiajiri...

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wagawiwa miche milioni tatu ya kahawa

Kampuni ya uwekezaji wa kahawa wilayani Songea ya AVIV imetoa miche milioni tatu ya kahawa yenye thamani ya Sh30 milioni kwa vikundi vya wakulima wa vijiji vinne.

 

10 years ago

Habarileo

China yazipatia nchi tatu dola milioni 85 kukabili ebola

SERIKALI ya Jamhuri ya Watu wa China imetangaza kuwa, kwa mara ya nne katika kipindi kifupi inapeleka msaada wa dawa, vifaa na mahitaji mengine ya tiba yenye thamani ya dola za Marekani milioni 85 kukabiliana na ugonjwa wa ebola kwa nchi tatu za Afrika Magharibi, ambazo zinapambana na ugonjwa huo, ambao mpaka sasa umeua zaidi ya watu 4,000.

 

9 years ago

Bongo5

Millard Ayo awa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni 1 Instagram

Millard-Ayo

Mtangazaji wa nguvu Millard Ayo kutoka Clouds Fm, amekuwa Mtanzania wa tatu kufikisha followers milioni moja kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram. Hadi leo amefikisha 1,007,912.

Millard-Ayo

Host huyo wa kipindi maarufu cha Amplifaya amekuwa wa tatu kufikisha idadi hiyo baada ya Wema Sepetu, ambaye alifikisha idadi hiyo mwezi huu wa Novemba. Mpaka sasa Wema amefikisha 1,077,859. Mtanzania wa kwanza kufikisha idadi hiyo alikuwa Diamond Platnumz ambaye kwa sasa ana 1,311,940.

ayo insta

Mastaa wengine ambao...

 

9 years ago

Bongo5

Album ya Adele ‘25’ yauza zaidi ya nakala milioni 5 wiki ya tatu

Adele-2015-press-Alasdair-McLellan-XL-billboard-650-2

Album ya Adele ‘25’ inaendelea kununuliwa kwa kasi, mpaka sasa imeuza zaidi ya nakala milioni 5 Marekani kwenye wiki ya tatu.

Adele 25

Katika wiki mbili za kwanza ‘25’ iliuza nakala milioni 4.49, na inakadiriwa imeuza nakala 510,000 katika wiki ya tatu ya mauzo hivyo kufanya mauzo ya jumla kufikia zaidi ya milioni 5.

Wataalam wanabashiri kuwa hadi kumalizika kwa wiki ya tatu inaweza kuwa imeuza nakala 650,000 kwa wiki hii.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...

 

11 years ago

Michuzi

Times Fm yachangia chama cha Albino wilaya ya Temeke shilingi milioni tatu

100.5 Times Fm Radio imetoa kiasi cha shilingi milioni tatu kwa albino wa wilaya ya Temeke, Dar es Salaam kama sehemu ya mchango wao kwa jamii hiyo yenye ulemavu wa ngozi inayokumbwa na changamoto nyingi.
Katibu wa Kampuni ya Times Fm Radio, Amani Joachim ameukabidhi uongozi wa chama hicho hundi halisi akiwa ameambatana na Aluta Warioba (Meneja Vipindi Msaidizi) na Mzee Chapuo kutoka katika idara ya ubunifu.
Amani Joachim aliwaomba wapokee kiasi hicho kwa kuwa bado Times Fm...

 

9 years ago

Vijimambo

MFUKO WA LAPF WATOA SHILINGI MILIONI TATU, KUSAIDIA WIKI YA NENDA KWA USALAMA

 Meneja Masoko wa Mfuko wa  LAPF Kanda ya Mashariki, Yessaya Mwakifulefule (wa pili kulia)  akimkabidhi Katibu wa kamati ya Usalama barabarani kanda maalum,ACP Peter Sima (kushoto), hundi ya thamani ya million tatu  walizotoa kwa ajili yakusaidia vifaa kwa ajili ya wiki ya nenda kwa usalama wanaishuhudia ni mwenyekiti wa kamati hiyo Elifadhili Mgonja (wapili kushoto) na Ofisa Masoko wa Mfuko huo, Rehema  Mkamba.

 Katibu wa Kamati ya Usalama Barabarani Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu KKAM alipa ushauri Bunge la Katiba

>Askofu Mkuu Mpya wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM), Jesse Angowi amesema njia pekee ya kuimarisha amani ni kwa Bunge la Katiba kuheshimu matakwa ya Watanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Titi limetoboka, nisaidieni

Ni saa kumi jioni napandisha kilima kurejea mahali ninapoishi nikitokea Hospitali ya wilaya ya Kondoa mkoa wa Dodoma, kitengo cha akina mama wanaosubiri kujifungua, nafika katika Mtaa wa Chemchem nasikia nikiitwa, nilipogeuka nikakutana na mzee aliyejitambulisha kwa jina la Azidini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani