Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMVUA CHAUSA: Vitanda vya marehemu mume wangu vinawatoa ‘roho’ ndugu

UKATILI wa kijinsia ni ukiukwaji uliomea katika jamii hali inayoleta kikwazo kufikia usawa wa kimaendeleo. Ukatili huu unamaanisha mlolongo wa unyanyasaji unaofanyika dhidi ya wanawake na watoto.  Mwaka 1993, Azimio...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Maiti zalazwa vitanda vya wagonjwa Kyerwa

>Wananchi wanaopata huduma za afya katika kituo cha afya Murongo wilayani Kyerwa mkoani Kagera, wameuomba uongozi wa kituo hicho kujenga chumba cha kuhifadhia maiti ili kuwaondolea adha wananchi wanayokumbana nayo baada ya kushuhudia maiti zikilazwa kwenye vitanda vya wagonjwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mume achomwa kwa kumkumbuka marehemu mkewe

Mwanamume aliyechomwa kwa kumkumbuka marehemu mke wake amesema haoni haya tena kuwa alichomwa na maji moto

 

11 years ago

Michuzi

MTANZANIA AFARIKI MAREKANI, NDUGU WA MAREHEMU WATAKIWA KUJITOKEZA

Habari kutoka Madison Wisconsin nchini Marekani zinasema kuwa mtanzania, Michael Agustine Lukindo (pichani), amefariki Dunia na hakuna taarifa zozote kuhusiana na ndugu zake. Lukindo ambaye ni mwenyeji wa Mkoa wa Tanga ameacha mke na watoto wanne. Kwa mujibu wa rafiki wa marehemu, Oliver Temba  juhudi za kuwapata ndugu zake hazikufanikiwa. Marehemu Michael Lukindo amefariki dunia mjini Madison Wisconsin-USA, kutokana na hali hiyo familia ya marehemu imewaomba ndugu wea marehemu kujitokeza...

 

10 years ago

Michuzi

Janet Mbene akabidhi vitanda vaya kujifungulia vya thamani ya Milioni 30 ileje

 Mafundi wa Hospitala wakiunganisha kitanda cha kujifunguliwa kilicholetwa na Mh Janet Mben kwa ajili  ya hospitalai za ieleje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Janet Mbene,akionyesha baadhi ya vifaa vinavyotumika katika hospital ambavyo avimetolewa na Karemjee Foundation kwa ajili ya Hospital ya Ileje. Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Janet Mbene akimkabidhi Vitanda vya Kujifungulia Katibu wa CCMwilaya ya Ileje kwa ajili ya Hospitali za wilaya hiyo. Mganga mkuu wa Wilaya ya ilje...

 

9 years ago

CCM Blog

CHINA YASAIDIA VITANDA 60 VYA KUJIFUNGULIA WAKINA MAMA KWA MKOA WA LINDI

 Balozi wa China nchini Dk. Lu Youqing akizungumza kabla ya kukabidhi vitanda 60 vya kujifungulia wakina mama katika mkoa wa Lindi, kushoto ni mkalimani wake Ndugu Mu Lin.
 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akizungumza kwa niaba ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (MB) ambapo alisema Serikali ya China pamoja na watu wake wamekuwa marafiki wa kweli kwa Tanzania na wamekuwa wakitoa misaada mingi bila kutoa masharti.

 Waziri wa...

 

10 years ago

StarTV

Kifo chenye utata, Ndugu warudisha mwili wa marehemu Polisi Serengeti

Na Sosy Wema,

Serengeti.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida ndugu wa mtuhumiwa mmoja ambaye kwa sasa ni marehemu wamelazimika kurudisha mwili wa ndugu yao katika kituo kikuu cha polisi wilayani Serengeti kwa kile walichokieleza kuwa kifo cha ndugu yao huyo kilitokana na kipigo ambacho alikipata wakati akiwa mikoni mwa jeshi polisi na Askari wa TANAPA.

 

Msafara wa magari ukiwa na baadhi ya ndugu wa marehemu Samson Nyakiha (70) aliyefia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando alikokuwa akipatiwa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yatoa vitanda vya wagonjwa Kituo cha Afya Chipanga Chapokea Wilayani Bahi

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma Betty Mkwassa (wa ttau kushoto) akipokea moja ya vitanda 9 kutoka kwa Mkuu wa Vodacom Kanda ya Kati Mruta Hamisi vilivyotolewa na mfuko wa kampuni hiyo wa kusaidia jamii (Vodacom Foundation) kwa ajili ya wodi ya wanawake katika kituo cha afya cha kijiji cha Chipanga.Kampuni ya Vodacom imejikita katika kusaidia uboreshaji wa huduma za afya hasa kwa wanawake na watoto chini ya mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii. Mama mjamzito Vailet Petro ...

 

9 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aagiza fedha za hafla ya wabunge zipelekwe Muhimbili kununulia vitanda vya wagonjwa

Baada ya kulihutubia na kulizindua bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt JOHN POMBE MAGUFULI amehudhuria hafla fupi iliyoandaliwa kwa ajili ya wabunge katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma na kuagiza fedha zilizochangwa kwa ajili ya kugharamia hafla hiyo zipelekwe Katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda vya wagonjwa.
Mheshimiwa Magufuli ametoa agizo hilo baada ya kupokea taarifa kuwa wadau mbalimbali wamechanga...

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KISOMO CHA AROBAINI YA NDUGU YETU MAREHEMU (BONDIA) IRAKI HUDU (RIP)

MAREHEMU IRAKI HUDU (RIP)
Ndugu wanajumuiya, mabibi na mabwana Familia ya marehemu (Bondia) Iraki Hudu,inapenda kuwajulisha maadhimisho ya arobaini ya marehemu Iraq Hudu itayofanyika siku ya 19 Julai 2014 Shughuli hii itafanyika jioni wakati kufutari nyumbani kwa marehem huko Buguruni ,Rozana,Dar-es-salaam .
Shughuli hii ya arobaini kwa kuwa imengia katika mwezi mtukufu wa mfungo wa Ramadhan,familia ya marehem imeamua kutimiza shughuli hii kwa kufuturisha na kisomo.
Kwa heshima na taazima...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani