Mwananchi halihusiki kumchafua Mbatia
Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), inayochapisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen, imelaani vikali upotoshaji wa makusudi unaolenga kutumia jina la Mwananchi kuwachafua wanasiasa na watu wengine hasa kipindi hiki kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Mwakyembe Akana kutumia Richmond Kumchafua Lowassa...... Umoja wa Ulaya nao wakana kuhusika Kumchafua

WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Harrison Mwakyembe, ameibuka na kusema hajawahi kumshambulia kwenye mitandao Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuhusu sakata la Richmond.Kauli hiyo ya Dk. Mwakyembe imekuja siku chache baada ya kusambazwa kwa waraka unaodaiwa kuandikwa naye, ukimuhusisha na tuhuma za kumshambulia Lowassa, jambo ambalo amelifananisha kuwa ni sawa na siasa za kitoto.
Akizungumza jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na kituo cha redio Clouds FM,...
10 years ago
Michuzi
MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).



BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
Vijimambo
JAMES MBATIA AKABIDHI ZAWADI KWA BINGWA WA MASHINDANO YA JIMBO LA VUNJO (MBATIA CUP 2015).










10 years ago
GPL
LOWASSA AFUNGUKA; ASEMA HAHUSIKI NA RICHMOND, ILITUNGWA KUMCHAFUA NA HATOHAMA CCM
Waziri Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa. WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amesafirisha wahariri wakuu wa vyombo vyote vya habari toka Dar es salaam na kufanya nao mkutano maalum leo nyumbani kwake mjini Dodoma. Katika mkutano huo kwa ufupi Lowassa amesema yafuatayo; 1: Amesema Hahusiki lolote na sakata la Richmond na ndio sababu hata kamati ya Mwakyembe haikuona sababu ya kumhoji. Amesisitiza kuwa cheo cha uwaziri mkuu...
11 years ago
Vijimambo
MHE. SHY-ROSE BHANJI AKANUSHA HABARI ZILIZO ZAGAA MTANDAONI NA KUDAI NI MBINU ZA KUMCHAFUA.

Mimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotolewa dhidi yangu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.Shutuma hizi...
10 years ago
Vijimambo
Escrow Yaendelea Kumtesa Tibaijuka..Amshambulia Halima Mdee, Adai Anatumiwa na Wabaya Wake Kumchafua

Mbunge wa Muleba Kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka amemshambulia Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee pamoja na baadhi ya vyombo vya habari kwamba vinatumiwa na wabaya wake kumkashifu katika utendaji wake.Profesa Tibaijuka alitoa shutuma hizo wakati akihutubia wananchi wa Kata ya Bureza. Alisema alikumbwa na kashfa ya Escrow, kutokana na kupata fedha kutoka kwa kaka yake Rugemalila (James) alizompa kusaidia shule anayoisimamia.
Alikanusha tuhuma zilizotolewa na Mdee bungeni dhidi yake...
10 years ago
Vijimambo
DIAMOND AKANUSHA KUPEWA MILIONI 500 NA LOWASSA ILI AMPIGIE KAMPENI....ASEMA TAARIFA HIZO ZINALENGO LA KUMCHAFUA LOWASSA

Alisema hata hivyo Diamond yupo tayari kumfanyia kampeni mgombea yeyote...
10 years ago
Mwananchi06 Mar
Mwananchi FC yasaka ubingwa EA
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi ameikabidhi bendera ya Taifa, timu ya Soka ya Kampuni ya Mwananchi Commnications Limited (Mwananchi FC), na kuitaka ipambane kikamilifu na kuhakikisha inatwaa ubingwa wa Afrika Mashariki kwenye Michuano ya Kombe la Standard Chartered.
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Waandishi Mwananchi watunukiwa
Chuo cha Royal College of Tanzania (RCT), kimewatunuku vyeti vya heshima waandishi wawili wa gazeti la Mwananchi kwa kuwa mabalozi wazuri wa chuo hicho, baada ya kufanya vyema katika Tuzo za Umahiri za Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) 2013/2014.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania