Mwanasiasa mashuhuri afariki,Tanzania
Mwanasiasa mashuhuri na Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic Party (DP) nchini Tanzania , Mchungaji Christopher Mtikila amefariki dunia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMWANASHERIA NA MWANASIASA MKONGWE DKT. MASUMBUKO LAMWAI AFARIKI DUNIA
10 years ago
Mwananchi11 Jun
Kigwangalla, mwanasiasa aliyepikwa na mwanasiasa
Kwa kipindi cha miaka mitano, jina la Dk Hamis Kigwangalla limekuwa likivuma katika medani za siasa nchini, hasa baada ya mwaka 2010 kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nzega.
5 years ago
BBCSwahili09 Jun
Tanzania: Mwanasiasa wa upinzani Freeman Mbowe avamiwa na kushambuliwa
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini Dodoma.
11 years ago
BBCSwahili06 Feb
Waandishi mashuhuri waishtumu Urusi
Zaidi ya waandishi 200 mashuhuri wa vitabu kutoka mataifa 30 wameishtumu Urusi kwa kukandamiza Uhuru wa kujieleza..
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Watu mashuhuri walaani udukuzi
Wiki jana taarifa za watu mashuhuri zilifichuliwa kupitia akauti zao za iCloud huku picha za kibinafsi kuchapishwa
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Mimi si mwanasiasa — Nkya
MTETEZI wa Haki za Wanawake, Ananilea Nkya, amesema yeye si mwanachama wa chama chochote cha siasa bali amekuwa akizungumza ukweli kuhusiana na Taifa. Hatua hiyo imetokana na watu wengi kumhusisha...
9 years ago
BBCSwahili29 Nov
Uturuki yaapa kuwashika waliomuua wakili mashuhuri
Wakili Tahir Elci alipigwa risasi jana katika mji wa Kusini Mashariki wa Diyarbakir.
5 years ago
Raia Mwema12 Mar
Mganga mashuhuri duniani afanya maajabu Uingereza
TAKRIBANI mwezi sasa umepita nchi ya Uingereza ilimpokea mganga mwenye miujiza ya ajabu na kutata
Mwandishi Wetu
9 years ago
BBCSwahili21 Nov
Waziri mashuhuri Kenya Anne Waiguru ajiuzulu
Waziri mwenye ushawishi mkubwa katika serikali ya Rais Uhuru Kenyatta amejiuzulu wadhifa wake baada ya shinikizo kutolewa ajiuzulu kutokana na tuhuma za ufisadi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania