MWILI WA KICHANGA WAOKOTWA
![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slei*8RekFrQMecMP*YbQbqXAZMWGw-AC3joI7IAQcVJjf0Ph5rRbv2xQM4Wr2cq1ZxIzpDBYJVOr1p7*t5*h6BH/IMG20141212WA0014.jpg?width=650)
Mwili wa kichanga cha jinsia ya kike ulioanza kuaribika umeokotwa leo majira ya saa nane mchana katika eneo la Ukonga Sabasaba Kwa Diofu, kwenye shamba la mzee Msindo. (Habari/Picha: Global Whatsapp +255 753 715…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OsG-NixX39dZFATIwFmKXSjSbgG7a5MNVgahgsziZ-0jes-D3aWHlctxpBjzBwuCSWfdKvoPqEW*yIABdFZH79dazALiF0v8/MWILI1.jpg?width=650)
MWILI WA MTU WAOKOTWA MTO MZINGA, KONGOWE JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog17 Aug
Mwili wa kichanga wakutwa umefukiwa kwenye gofu Songea
Kamanda wa polisi mkoa wa Ruvuma Mihayo Msikhela.
Na Nathan Mtega wa Demashonews, Songea.
Pamoja na kuwepo kwa harakati na utetezi kuhusiana na haki za watoto ikiwemo ya kuishi lakini bado wilayani Songea mkoani Ruvuma kumeendelea kuwepo kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watoto vinavyoambatana na utupaji wa watoto wachanga.
Vitendo hivyo ni pamoja na kitendo kilichotokea jana katika mtaa wa Lizaboni mjini Songea ambapo mwili wa mtoto mchanga anaedaiwa kuwa na umri wa miezi sita ulikutwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wri1xbSz2-4DTb1IyGn4U9c*rWeu4PzpJiEp82kyLKYcIqpejTZAgelzv7IBiVc16cghoazVelBu-F3o2Q1YMY9sbuw77Eyy/mjamzito.jpg?width=650)
MJAMZITO FEKI AIBA KICHANGA
11 years ago
Uhuru Newspaper31 Jul
Mfanyakazi wa ndani atoweka na kichanga
Mwingine aiba mtoto wa miaka
miwili, amtelekeza barabarani
NA MWANDISHI WETU, MWANZA
WIMBI la wizi wa watoto sasa limeanza kushika kasi nchini, ambapo watumishi wawili wa ndani kwa nyakati na maeneo tofauti, wametoweka na watoto wa waajiri wao.
Miongoni mwa watoto walioibwa, yupo mwenye umri wa miezi tisa na mwingine miaka miwili na nusu. Kati ya hao, mmoja amepatikana akiwa ametelekezwa barabarani.
Watumishi hao walikuwa wakiwalea watoto hao, ambapo waliofanikiwa kuwaiba wazazi wao wakiwa kwenye...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Adakwa akienda kutupa kichanga!
Kichanga kilichotaka kutupwa na mama yake.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
INASIKITISHA! Wakati watu wengi wakisaka watoto kwa udi na uvumba, mama anayejulikana kwa jina la Ruth, mkazi wa Mbezi jijini Dar amenusurika kichapo kutoka kwa wananchi baada ya kumdaka akiwa kwenye harakati za kutaka kumtupa mtoto baada ya kujifungua.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio, siku ya tukio, Desemba 14, mwaka huu, majira ya saa 2 asubuhi, walimuona Ruth ambaye alikuwa mjamzito akilalamika kuwa tumbo...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Mwanamke atuhumiwa kuiba ‘kichanga’
MKAZI wa Bunju B, Grace Chapanga(34), anashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja. Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova alisema Chapanga alimuiba mtoto huyo, Veis Venus Desemba 27 mwaka jana katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo23 Jul
Anyonga kichanga na kumtumbukiza kisimani
POLISI mkoani hapa inamshikilia msichana wa miaka 18, aliyetajwa kwa jina la Rhoda Idetemya kwa tuhuma ya kumyonga mtoto wake wa miezi miwili.
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Mbaroni kwa kutupa kichanga
JESHI la Polisi mkoani Pwani linamshikilia Theresia Matia (19) mkazi wa Kwamatiasi, Wilaya ya Kibaha, Pwani kwa tuhuma za kutupa mtoto mchanga. Tukio hilo limetokea juzi, saa 3 usiku ambapo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0jwS8IDgkuUlH7825ZnD56L1vrtf*00SbiiwcYZLIkXPJf1qoGD4qBsdcsWKK4CiWWOZQ*Wpkb2-yo9GkjRd9401-vqbaeIq/BELINDA2.jpg)
BELINA ANASWA NA KICHANGA CHAKE