Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIMBAJI AMTIMUA MWANAMKE!

Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
Haijakaa poa! Katika hali isiyokuwa  ya kawaida, mwimbaji ambaye ni Prezidaa wa Bendi ya Mikumi Sound, Joshua Malekela amelazimika kumtimua mwanamke mmoja ukumbini, kisa kikielezwa ni mcharuko.
Tukio hilo la aina yake lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Black Poiny uliopo maeneo ya Iringa Road, Msamvu mjini hapa ambapo bendi hiyo ilikuwa ikishusha burudani. Mlinzi akimuondoa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Tsvangirai amtimua hasimu wake

Kiongozi wa MDC Morgan Tsvangirai alitimuliwa na chama hicho wiki jana lakini naye sasa amemtimua katibu mkuu wake Tendai Biti

 

9 years ago

Mwananchi

Waziri amtimua mkandarasi Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama amemtimua kazi mkandarasi anayejenga mfereji wa Buguruni kwa Mnyamani, Manispaa ya Ilala kwa kushindwa kuujenga kwa kiwango kinachotakiwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Chenge amtimua Mwingulu kikaoni

MAKOMBORA ya Kamati ya Bajeti yameilazimisha serikali kufyeka sh bilioni 170 kutoka katika matumizi yasiyo ya lazima na kuzipeleka kwenye maeneo yenye tija. Tanzania Daima, imedokezwa kuwa uamuzi huo wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mourinho amtimua daktari wa timu

Meneja wa Chelsea,Jose Mourinho anapaswa kuomba msamaha kwa daktari wa timu Eva Carneiro ''kwa kumfedhehesha hadharani''

 

9 years ago

GPL

LAMAR AMTIMUA KHLOE KARDASHIAN HOSPITALI

Staa wa kikapu Lamar Odom. WAKATI ikielezwa kuwa Khloe Kardashian amekuwa karibu na staa wa kikapu Lamar Odom ambaye amelazwa, habari ni kuwa Odom amemtimua mrembo huyo ambaye ni mke wake kutoka hospitali kutokana na kutumia ugonjwa wake kujipatia umaarufu.  Khloe Kardashian. Taarifa zinaeleza kuwa mara baada ya Lamar kupata nafuu na kujitambua, alipata malalamiko ya kuwa Khloe anatumia hali ya… ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyalandu amtimua kigogo mwingine Utalii

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemfukuza kazi Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii (TTB), Dk. Aloyce Nzuki, kwa madai ya kutokuwa na imani naye katika utendaji kazi wake. Akitangaza...

 

10 years ago

Mwananchi

DC amtimua kazi mtendaji wa kata ungu

Mtendaji wa Kata ya Kinungu, Varelian Mapalala amefukuzwa kazi na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu kwa tuhuma za kushindwa kuwajibika.

 

11 years ago

Mwananchi

Nyalandu amtimua Mkurugenzi Wanyamapori Kamati ya Bunge

Hatua ya kurejeshwa kazini Mkurugenzi wa Wanyamapori, Profesa Alexander Songorwa baada ya kutimuliwa kazi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu imeibua mapya baada ya mkurugenzi huyo kutimuliwa katika Kamati ya Bunge jana.

 

9 years ago

Bongo5

Magufuli amtimua kazi mkurugenzi wa Takukuru, Edward Hoseah

hose

20151216053633

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani