Mwindaji atuhumiwa kusafirisha swara
Mtaalamu wa uwindaji anayetuhumiwa kuhusika na kifo cha simba aliyepewa jina Cecil nchini Zimbabwe amekamatwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Jul
Mwindaji akemewa Facebook
11 years ago
Habarileo09 Jul
Atuhumiwa kutapeli gari
MKAZI wa Msasani, Felix Mwaipunga (34) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es Salaam kujibu mashitaka ya kujipatia gari kwa njia ya udanganyifu.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VjQtj38RxreyhKPCW5ikRUofdBCm8LGSkzIJ5wZkKSbJNY37IM6l7iFh35s5uq-tcdMnLy1qtPMrtP2nVcZrVDq3OQpf4hOa/Auntizzz.jpg)
AUNT ATUHUMIWA USHIRIKINA
11 years ago
Habarileo15 Jan
Atuhumiwa kumuua mwanawe
BABA mzazi anatuhumiwa kumuua mwanawe katika kijiji cha Igalla wilayani Ukerewe katika ugomvi wa shamba.
11 years ago
Tanzania Daima15 Apr
Sitta atuhumiwa kupendelea
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Khamis Kigwangala, amemtuhumu Mwenyekiti wa bunge hilo, Samuel Sitta, kuliendesha kwa upendeleo, uonevu na ushabiki. Kigwangala alisema Sitta, amekuwa na tabia ya kupendelea wachache...
11 years ago
Habarileo28 Jan
Mwanamke atuhumiwa kuiba ‘kichanga’
MKAZI wa Bunju B, Grace Chapanga(34), anashikiliwa na Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa tuhuma za wizi wa mtoto mchanga wa kike mwenye umri wa mwezi mmoja. Kamanda wa Kanda hiyo, Kamishna wa Polisi Suleiman Kova alisema Chapanga alimuiba mtoto huyo, Veis Venus Desemba 27 mwaka jana katika maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo03 Apr
Atuhumiwa kutaka kumuua trafiki
MKAZI wa Kijitonyama,jijini Dar es Salaam Cresence Nguzo (25) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka ya kujaribu kumuua askari wa kikosi cha usalama barabarani.
10 years ago
BBCSwahili22 Aug
Shakira Atuhumiwa Kuiba Wimbo
10 years ago
Habarileo14 Aug
Atuhumiwa kulawiti mtoto wa mkewe
MKAZI wa eneo la Majengo mjini Manyoni, Juma Saidi (32) anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kumlawiti mtoto wa mkewe. Mtoto huyo mwenye umri wa miaka 14, anasoma Kidato cha Kwanza katika shule moja ya sekondari wilayani Manyoni na inadaiwa alifanyiwa kitendo hicho juzi saa 6 usiku nyumbani kwao.