Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwinyi awaasa wasanifu, wakadiriaji

RAIS Mstaafu wa awamu ya pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi amewaasa wasanifu majengo na wakadiriaji ujenzi kuepuka rushwa, ubadhilifu na kupinga uzembe unaosababisha kuanguka kwa maghorofa. Hayo aliyasema juzi wakati...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mwinyi awaasa wanafunzi kuchangamkia fursa ya kupata taaluma Chuo Kikuu cha Kampala

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kampala International cha jijini Dar es Salaam,Rais Mstaafu wa Tanzania Mheshimiwa Ali Hasani Mwinyi amewataka watanzania kuchangamkia fursa za masomo ya taaluma mbalimbali nanayotolewa na Chuo Kikuu cha Kampala kilichopo eneo la Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Akiongea wakati wa mahafali ya tatu ya chuo hicho kwa upande wa Tanzania jana ambapo wahitimu walitunikiwa shahada ,stashahada na vyeti vya kufuzu fani mbalimbali alisema chuo hicho kinatoa elimu bora ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

WABUNIFU, WAKADIRIAJI MAJENZI: Fani nyeti isiyopewa umuhimu

HIVI karibuni Bodi ya Usajili ya  Wabunifu na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) iliandaa semina  ya siku mbili mkoani Mbeya. Semina hiyo iliwashirikisha zaidi ya wanataaluma 600 kutoka mikoa mbalimbali, lengo likiwa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI KUFANYIKA JIJINI DAR, SEPTEMBA 18

Na Dotto Mwaibale 
 BODI ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) katika kipindi cha kuanzia mwaka 1998 hadi sasa imezifungia kampuni 86 kufanyakazi ya ukandarasi baada ya kushindwa kufuata sheria za ujenzi. 
 Hayo yalielezwa na Msajili wa bodi hiyo Jehad Jehad wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mkutano wa usajili wa wabunifu majengo na wakadiriaji majenzi utakaofanyika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Septemba...

 

11 years ago

Mwananchi

Kabaka awaasa wanahabari

Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka amezitaka timu za vyombo vya habari kuzingatia nidhamu ya ndani na nje ya uwanja kwenye michuano ya kombe la mfuko wa hifadhi ya jamii (NSSF).

 

10 years ago

Dewji Blog

Sumaye awaasa vijana

sumaye-1

Na Mwandishi wetu

WAZIRI Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye (pichani) amewataka vijana kutambua kuwa elimu ni zana muhimu hivyo wakiitumia vema itawaletea mabadiliko katika maisha yao.

Sumaye alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam katika mahafali ya nane ya chuo cha uongozi Azania.

Alisema vijana ambao wanapata nafasi mbalimbali za kusoma ni lazima wajue kuwa wamepata bahati ya pekee ya kutumikia nchi na jamii inayowategemea kwa ubora na ufanisi.

“Elimu ni ufunguo muhimu wa maisha, ukiutumia...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kamanda Mpinga awaasa madereva

KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga, amewaasa madereva wa mabasi ya abiria kufuata taratibu, kanuni na sheria, ili kazi yao iweze kuheshimiwa na jamii. Alitoa wito huo...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu awaasa wajumbe kuheshimiana

Kauli ya Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Donald Mtetemela mwishoni mwa wiki ilitosha kuwarejesha pamoja Wajumbe wa Bunge la Katiba waliogawanyika kimtazamo kuhusu upigaji kura.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msigwa awaasa walimu Iringa

MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (CHADEMA), amewataka walimu wa Halmashauri ya Iringa, wagome kulipa michango ya lazima kwa ajili ya ujenzi wa maabara. Msigwa alitoa kauli hiyo jana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumaye awaasa viongozi Afrika

WAZIRI Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, amewaasa viongozi wa nchi za Afrika kutumia rasilimali walizonazo na fursa zinazojitokeza kujikwamua kiuchumi. Sumaye alitoa wito huo jana nchini Marekani, katika Chuo Kikuu cha Elizabeth...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani