Nahodha wa Bafanabafana auawa
Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Oct
Rais Zuma aomboleza kifo cha nahodha BafanaBafana
Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ametuma salamu za pole kwa familia ya Senzo Meyiwa kutokana na kifo cha nahodha huyo wa Bafana Bafana.
11 years ago
Bongo527 Oct
Nahodha na mlinda mlango wa Bafana Bafana Senzo Meyiwa auawa na majambazi
Nahodha wa timu ya soka ya Afrika Kusini ambaye pia alikuwa mlinda mlango, Senzo Meyiwa ameuawa. Klabu yake Orlando Pirates imetangaza kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi na jambazi nyumbani kwake maili 20 kusini mwa jiji la Johannesburg usiku wa jana. Meyiwa, 27, aliuawa nyumbani kwake Vosloorus. Ripoti ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa Meyiwa alikuwa ndani […]
11 years ago
Vijimambo27 Oct
Nahodha wa Bafana Bafana auawa-BBC

Nahodha ambaye pia ni golikipa wa timu ya soka ya taifa la Afrika kusini Senzo Meyiwa amefariki dunia baada ya kupigwa risasi. Jeshi la polisi la nchi hiyo limesema.
Tukio hilo limeripotiwa kutokea katika nyumba ya mpenzi wake iliyopo katika mji wa Vosloorus kusini mwa Johannesburg.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliichezea klabu ya Orlando Pirates na alicheza mechi nne zilizopita za timu yake ya taifa katika mechi za kufuzu za fainali ya mataifa ya...
11 years ago
Mwananchi15 Jun
Marquez nahodha fainali 4
Beki wa Mexico, Rafael Marquez juzi Ijumaa aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kuwa nahodha wa nchi yake katika fainali nne za Kombe la Dunia.
11 years ago
Mwananchi02 Nov
Nahodha afunguka Zanzibar
 Wakati Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), ikitimiza miaka minne, Waziri Kiongozi Mstaafu wa awamu ya sita, Shamsi Vuai Nahodha amesema ipo haja ya kuendelea kuwa na umoja huo kwa vile sababu zilizofanya kuundwa kwa Serikali shirikishi ya vyama vya CCM na CUF bado zipo.
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Nahodha wa SpringBoks astaafu
Nahodha wa kikosi cha mpira wa Raga nchini Afrika Kusini Jean de Villiers amestaafu katika raga ya kimataifa baada ya kuambiwa kwamba hatoweza kucheza tena katika mechi za kombe la dunia kutokana na jeraha la taya.
11 years ago
Tanzania Daima11 Apr
Nahodha azomewa bungeni
HARAKATI za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutaka kuzima hoja za wapinzani jana nusura ziligharimu Bunge, baada ya Mwenyekiti wa Kamati namba tano ya Bunge Maalumu la Katiba, Shamsi Vuai Nahodha,...
11 years ago
Mwananchi29 Aug
Owino awa nahodha Simba
Kocha wa Simba, Patrick Phiri amemteua beki Joseph Owino kuwa nahodha mpya wa timu hiyo na atasaidiwa na kiungo mkongwe, Shaaban Kisiga.
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Nahodha wa mashua afunguliwa mashtaka
Nahodha wa mashua ambayo ilizama pwani ya Libya siku ya Jumapili ambapo wahamiaji wengi waliangamia amefunguliwa mashtaka
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania