Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani kawaloga wabunge wetu?

KWA takriban wiki mbili sasa nipo mkoani Dodoma nikihudhuria vikao vya Bunge la Bajeti linaloendelea hivi sasa, kubwa zaidi linalonivutia ni majadiliano yanayoendelea baada ya Waziri wa Fedha, Saada Mkuya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nani adui wa umoja wetu wa kitaifa?

HAKUNA taifa linaloweza kusimama bila ya kuwa na umoja wa kitaifa. Tanzania imesimama imara hadi leo hii kwa sababu ya umoja wa kitaifa uliojengwa na waasisi wa taifa letu. Tunasifiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tukiwakatisha tamaa walimu nani atafundisha watoto wetu?

Umuhimu wa mwalimu katika dunia hii uko wazi kwa kila jamii iliyostaarabika.Ulimwengu mzima unatambua mwalimu ni mtu muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

KUTOKA ZANZIBAR: Nani kawaroga vijana wetu wanaoshiriki siasa?

>Mazingira yamebadilika na hadhira ya kisiasa imechukua mwelekeo mpya kisiwani Zanzibar.

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu — Nani umpigie kura?

The post Ujumbe kutoka kwa Wasanii wetu – Nani umpigie kura? appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge wetu na maaoni ya wananchi

UKISIKILIZA jinsi mjadala unavyokwenda kwenye Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma, utagundua kwamba wabunge wetu hawana mawasiliano na wananchi waliowatuma bungeni. Wabunge wanawasilisha maoni yao binafsi badala ya kuwasilisha maoni...

 

11 years ago

Mwananchi

Ni kosa lenye heri au tuendelee kuwalaumu wabunge wetu?

Sote tuna vibanzi. Kila mtu kwa nafasi yake. Tusiwanyoshee wabunge kidole wala kuwalaumu. Tunapenda sana kulaumu.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajabu! Wabunge wetu mmejisahau, mmegeuka kuwa janga

>Kuna usemi ambao nimekuwa nikiusikia mara kwa mara na ambao umekuwa ukitumiwa na watu wengi, unasema kuwa mdomo uliponza kichwa.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani