Nataka tiketi ya kupigana Marekani- Matumla Jr
Bondia Mohamed Matumla Junior atapanda ulingoni leo kumvaa Mchina, Wang Xiu Hua katika pambano la kuwania ubingwa wa Super Bantam wa WBF Eliminator kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Mar
Matumla Jr ‘amtandika vibayaa’ bondia wa China Wang Xin Hua, aenda kupigana Marekani
Mohamed Matumla Junior akimtupia makonde Mchina Wang Xiu Hua.
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Bondia anayetoka kwenye familia yenye kusifika kwenye mchezo huo wa ngumi hapa Nchini Mohamed Matumla Junior usiku wa kuamkia leo Machi 28, ameweza kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika mchezo huo baada ya kumshinda bondia mwenzake kutoka China, Wang Xiu Hua katika pambano la kuwania ubingwa wa Super Bantam wa WBF Eliminator. Mchezo uliochezwa Ndani ya Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es...
10 years ago
Vijimambo06 Apr
SAFARI YA MATUMLA YA MAREKANI YAISHIA DIAMOND JUBILEE,PROMOTA ALALA MBELE
Bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla. IMEFAHAMIKA kuwa ile safari ya bondia wa ngumi za kulipwa, Mohammed Matumla kwenda kuzichapa katika pambano la utangulizi litakalowakutanisha mabondia Floyd Mayweather Jr dhidi ya Manny Pacquiao nchini Marekani, Mei 2, mwaka huu, inaweza kuwa imeishia kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar.Matumla alipata nafasi hiyo baada ya kumchapa kwa pointi Wang Xin Hua wa China katika pambano la Ubingwa wa Dunia wa WBF ambapo ilielezwa mshindi atasafiri...
11 years ago
Mtanzania11 Aug
Bunge la Katiba: Mjumbe ataka atumiwe tiketi ya ndege Marekani
![Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Deus-Kibamba.jpg)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania Bw, Deus Kibamba
Na Fredy Azzah, Dodoma
MWENYEKITI wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Deus Kibamba, amesema mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba hadi sasa hajahudhuria vikao vya Bunge hilo kwa vile aliteuliwa akiwa Marekani.
Amesema mjumbe huyo pia amekuwa akiitaka Ofisi ya Bunge la Katiba imtumie tiketi ya ndege aweze kuhudhuria vikao hivyo vinavyoendelea mjini Dodoma.
Kibamba akizungumza na waandishi wa habari Dodoma jana, alisema tathmini ya wiki...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ZpRIe3oJKi4/U5Fq86Rn3WI/AAAAAAACi5s/ex7u4_etMb0/s72-c/emirates.jpg)
Emirates yatoa punguzo maalumu la bei za tiketi kwa Watanzania wanaokwenda Chicago, Marekani
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZpRIe3oJKi4/U5Fq86Rn3WI/AAAAAAACi5s/ex7u4_etMb0/s1600/emirates.jpg)
Shirika la Ndege la Emirates, linalosifika kwa kutoa huduma bora za usafiri wa anga kwa abiria kwa mataifa mbalimbali, limetangaza ofa maalumu kwa Watanzania watakaokwenda Chicago nchini Marekani, kupitia Dubai wakitokea Dar es Salaam. Punguzo hilo au ofa hiyo maalumu ni kwa madaraja ya abiria wa kawaida yaani Economy Class na daraja la wafanyabiashara ‘Business Class’.
Emirates ilitangaza ofa hiyo mapema...
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Nataka kulewa 2
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Nataka kulewa
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Fahali avutishwa bangi kupigana
9 years ago
BBCSwahili09 Oct
Pacquiao kupigana mara ya mwisho
11 years ago
BBCSwahili23 Dec
Majeshi Sudan K. yajipanga kupigana