Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nataka ubunge wa taifa, nisaidie wanawake na watoto — Magabe

WITO wa wanawake kujitokeza kuwania nafasi mbali mbali za kisiasa nchini, umeitikiwa kwa kiwango cha kutosha, kwa wanawake wengi kujitokeza kuwania nafasi mbali mbali katika vyama vya siasa nchini.

Mmoja wa wanawake hao walioitika wito huo wa kuwania nafasi hizo ni Flora Magabe, anayewania ubunge wa viti maalum kupitia Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kwa mujibu wa Flora, nafasi hiyo ni kama kundi la kifo kwa sababu ya uchache wa nafasi zinazowaniwa kuwa  mbili  tu...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI DAR ES SALAAM WANAWAKE 12 WAPATA WATOTO MKESHA WA KRISMAS


Afisa Muuguzi Msaidizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwanne Satara akimsaidia kumuelekeza Lulu Mohamed namna ya kumfunika nguo Mtoto aliyezaliwa usiku wa kuamkia Krismas Dar es Salaam ambapo akinamama 12 walipata watoto na Mmoja wa akinamama hao alipata mapacha 2 na kufanya watoto wa kiume kufikia 6 na wakike 7, kati yao akinamama waliofanyiwa upasuaji ni akinamama 10 na kati ya hao watoto njiti 2 na Hospitali ya Temeke akina mama waliojifungua hospitalini hapo...

 

11 years ago

GPL

MTOTO: EEH MUNGU NISAIDIE

Stori:  Maria Halimoja na Rhoda Josiah
“Eeh Mungu sikia kilio changu unisaidie!” Ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye ameteseka kwa muda wa miaka minne (siku 1440) akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo. Mtoto Salum Kassim akiwa na maumivu makali ya kuvimba tumbo yaliyosababiswa na ugonjwa wa moyo. Akizungumza kwa maumivu makali na wanahabari wetu nyumbani kwao...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanawake jitokezeni nafasi za ubunge, urais’

MTANDAO wa Wanawake na Katiba nchini, umewataka wanawake nchini kujitokeza kuwania nafasi mbalimbali za kisiasa hasa za ubunge na urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

10 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WAGOMBEA WAWEKA MIKAKATI YA KUSHINDA UDIWANI NA UBUNGE 2015

Mgeni rasmi wa katika Kongamano hilo Mhe. Getrude Mongella(kushoto) akiwa na baadhi ya wabunge wanawake wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wakiimba nyimbo mbalimbali
Kwa Mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Idadi ya Watanzania sasa imefikia milioni 44.9 huku wanawake wakiwa ni asilimia 51.3 ilihali wanaume ni asilimia 48.7. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 inabainisha kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni ya kidemokrasia, ya kidunia ambayo...

 

5 years ago

Michuzi

UWT BAGAMOYO YAWATAKA WANAWAKE KUTHUBUTU KUGOMBEA UDIWANI,UBUNGE

Mwamvua Mwinyi, BagamoyoJUMUIYA ya Wanawake Wilayani Bagamoyo ,mkoani Pwani, (UWT),imewataka wanachama wa Jumuiya hiyo kujiandaa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi mkuu unaotarajia kuanza hivi karibuni ,pasipo kujiweka nyuma.
Katibu wa UWT Bagamoyo, Hanifa Checheta aliyasema hayo alipozungumza na waandishi wa habari kwenye ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM)wilayani hapo, ambapo alisema wakati mchakato wa uchaguzi ngazi za Udiwani, Ubunge ukiwadi ,wanawake wajitokeze kuwania...

 

10 years ago

CloudsFM

WASTARA ACHAGULIWA KUWA BALOZI WA KAMPENI YA ‘NISAIDIE MIMI SHILINGI 500 NIPATE ELIMU’

Msanii wa Bongo Movie,Wastara Juma ameteuliwa kuwa balozi wa kampeni YA ‘Nisaidie mimi Shilingi 500 nipate elimu’’ambayo inalenga kuwasaidia watoto wa kike ambao wameshindwa kuendelea na masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kukosa ada ambapo kampeni hiyo itaanzia katika mkoa wa Morogoro.

 

10 years ago

Dewji Blog

DC Mhita awahamasisha wanawake Mufindi kugombea nafasi za Udiwani, Ubunge na Uraisi

Mkuu wa  wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita akifungua  kongamano la  Umoja wa  wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mufindi jana. Mkuu  wa  wilaya ya  Mufindi Bi Mboni Mhita wa  pili  kulia akiwa na viongozi mbali mbali wa UWT mkoa na wilaya ya Mufndi na Iringa vijijini kutoka kushoto ni mwenyekiti  wa UWT mkoa Bi Zainabu Mwamwindi ,mwenyekiti wa UWT wilaya ya Mufindi Bi Marcelina Mkini katibu  wa wazazi  mkoa wa Iringa Bw  Geofrey Kavenga  na mwenyekiti  wa UWT wilaya ya Iringa vijijini Bi...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake na watoto wauawa DRC

Zaidi ya watu 20 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa Mashariki mwa DRC , kwa mujibu wa maafisa wa Umoja wa Mataifa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Idadi ya watoto, wanawake inatisha

SENSA ya Idadi ya Watu nchini iliyofanyika 2012 imeonyesha kuwa idadi ya  watoto ni kubwa kuliko makundi mengine. Aidha, takwimu za sensa hiyo zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi zaidi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani