Wanawake na watoto wauawa DRC
Zaidi ya watu 20 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa Mashariki mwa DRC , kwa mujibu wa maafisa wa Umoja wa Mataifa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili07 Jun
30 wauawa Mashariki mwa DRC
Takriban watu 30 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa katika mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo.
11 years ago
BBCSwahili26 Dec
Watu 40 wauawa Mashariki mwa DRC
Ripoti kutoka Mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinasema kuwa raia 40 wameuawa kwenye mapigano mjini Kamango
10 years ago
Mwananchi07 May
Wanajeshi wawili JWTZ wauawa DRC
Askari wawili wa Tanzania waliokuwa kwenye kikosi cha kulinda amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wameuawa na wengine 13 kujeruhiwa usiku wa kuamkia jana baada ya msafara wao kushambuliwa kwa roketi na waasi.
11 years ago
BBCSwahili03 Mar
Wanawake waeneza amani DRC
Zaidi ya wanawake 700 kutoka nchi 77 wanakutana mjini Kinshasa, kujadili mchango wa wanawake katika masuala ya amani,
11 years ago
BBCSwahili02 Jun
wanawake wabakwa gerezani - DRC
Utafiti mpya umeonesha kuwa ubakaji unatumiwa gerezani kama adhabu kwa wanawake wanaojihusisha na siasa nchini DRC.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Wanawake DRC: watakiwa kugombea uongozi
Wanawake wanaharakati nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamejitokeza kuwahamasisha wanawake wenzao,kugombea nafasi za juu katika uchaguzi mkuu ujao
11 years ago
Habarileo09 Feb
Wanawake 2 wauawa kwa wivu wa mapenzi
WATU watatu wamekufa mkoani Mbeya katika matukio tofauti yakiwemo ya wanawake wawili kuuawa na waume zao kutokana na wivu wa kimapenzi wilayani Chunya.
11 years ago
Michuzi
Rais Kikwete awasalimu watoto mapacha DRC

11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Watoto wauawa kikatili CAR
Umoja wa Mataifa umebaini taarifa za mauaji ya kikatili wanayofanyiwa watoto katika Jamuhuri ya Afrika ya kati
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania