Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wanawake wabakwa gerezani - DRC

Utafiti mpya umeonesha kuwa ubakaji unatumiwa gerezani kama adhabu kwa wanawake wanaojihusisha na siasa nchini DRC.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake 90;Ujerumani wabakwa mwaka mpya

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, ameshtushwa na taarifa kuwa wanawake tisini walibakwa wakati wa sherehe za mwaka mpya 2016 .

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA SIKUKUU ROHO MKONONI MABASI YATEKWA, WANAWAKE WABAKWA

Stori  Mwandishi Wetu, Mwanza
Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza. Polisi wakiwa eneo la tukio. Miongoni mwa magari yaliyotekwa, mawili yalikuwa ni mabasi ya abiria, Super Najmnisa na Princess...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake na watoto wauawa DRC

Zaidi ya watu 20 wakiwemo watoto na wanawake wameuawa Mashariki mwa DRC , kwa mujibu wa maafisa wa Umoja wa Mataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanawake waeneza amani DRC

Zaidi ya wanawake 700 kutoka nchi 77 wanakutana mjini Kinshasa, kujadili mchango wa wanawake katika masuala ya amani,

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake DRC: watakiwa kugombea uongozi

Wanawake wanaharakati nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wamejitokeza kuwahamasisha wanawake wenzao,kugombea nafasi za juu katika uchaguzi mkuu ujao

 

11 years ago

Habarileo

Wasichana wabakwa, wanyongwa

WASICHANA saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAWILI WA KIKE WABAKWA

Stori:  Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem, jijini Dar, kijana aliyefahamika kwa jina moja la Robert alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa baada ya kumnywesha bia na baadaye kumchoma kwa kisu chenye moto katika harakati za kulazimisha kitendo...

 

11 years ago

BBCSwahili

Wabakwa kisha kunyongwa India

Wasichana wawili wa kihindi waliopatikana wakiwa wananing'inia kwenye mti katika jimbo la Uttar Pradesh, walikuwa wamebakwa.

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wabakwa, walawitiwa, watobolewa macho

VITENDO vya ukatili kwa watoto ni changamoto kubwa katika Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa kutokana na kuripotiwa watoto 140 waliobakwa, kutobolewa macho, kulawitiwa, kutelekezwa na wengine kupoteza maisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani