Nauli bila pesa: Mfumo mpya Kenya
Serikali nchini Kenya imeanzisha mfumo mpya wa kulipia nauli ya usafiri.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Masilahi ya maprodyuza hayataimarika bila mfumo mpya
5 years ago
MichuziWateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...
10 years ago
GPLWATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA
10 years ago
MichuziWateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom
10 years ago
Bongo509 Mar
Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya
11 years ago
MichuziVodacom yarekebisha mfumo wa M-Pesa kwa soko la Afrika ya Kusini
M-Pesa ilianzishwa Kenya mwaka 2007 na leo hii inatumiwa na watu zaidi ya milioni 18 katika nchi zipatazo 13 kwa ajili ya kutuma pesa na za kibenki kwa kutumia simu ya mkononi.M-Pesa ilianzishwa Afrika ya Kusini mwaka 2011 ikiwa na wateja wa mwanzoni zaidi ya milioni moja lakini hadi leo haijaonyesha kukua kwa soko kama ilivyo kwa nchi za Kenya...
9 years ago
Dewji Blog14 Sep
Huduma ya Tigo Pesa yarejea baada ya maboresho makubwa ya mfumo
Huduma ya kifedha ya simu za mkononi nchini Tigo Pesa imerejesha huduma zake baada ya kusitishwa kwa muda mwishoni mwa wiki ili kufanya majaribio ya mfumo wa huduma ulioboreshwa.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kampuni leo jijini Dar es Salaam ilisema huduma ya Tigo Pesa ilirejea tena siku ya Jumapili alasiri baada ya kuzimwa kwa muda wa masaa 17 kuanzia Jumamosi saa mbili usiku.
Sehemu ya taarifa ilisomeka kwamba: “Tunafuraha kuwataarifu wateja wetu kuwa huduma ya Tigo Pesa...
10 years ago
GPLUNAPATA PESA KISHA UNAZITUMBUA BILA MALENGO, UTAFANIKIWAJE?
11 years ago
Tanzania Daima15 Jun
Hatuwezi kubadili mfumo bila kubadili watawala
NINA heshima kubwa sana kwa mwandishi nguli wa makala, Paschally Mayega, maarufu zaidi kama Mwalimu Mkuu wa Watu. Ni mwandishi asiyeogopa kuandika kile kilichojificha katika uvungu wa mtima wake. Lakini...