Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya Algeria yapoteza mawasiliano

Ndege ya Shirika la ndege la nchini Algeria imepoteza mawasiliano

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZZ........: NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO

Ndege ya Shirika la Algeria yenye nambari AH-5017 inayokadiriwa kuwa na watu zaidi ya 100 imepoteza mawasiliano na Shirika la Ndege hiyo dakika 50 mara tu baada ya kuruka kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ouagadougou nchini Burkina Faso.
Globu ya Jamii inaendelea kufuatilia tukio hilo na taarifa kamili tutaendelea kupeana kupitia hapa hapa.

 

11 years ago

GPL

NDEGE YA ALGERIA YAPOTEZA MAWASILIANO IKIWA NA WATU 116

Ndege iliyopoteza mawasiliano inafanana na hii pichani juu. SHIRIKA la ndege la Taifa la Algeria, limesema limepoteza mawasiliano na moja kati ya ndege zake iliyokuwa ikitoka Burkinafaso kwenda Algiers kupita Sahara. Mawasiliano yalipotea dakika 50 baada ya ndege hiyo kupaa kutoka mji wa Ouagadougou, Burkinafaso shirika hilo limeeleza. Ndege namba AH 5017 ilikuwa na abiria 110 na wafanyakazi sita wa ndege hiyo. Chanzo cha habari...

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Algeria yaanguka

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria iliyokuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Ouagadougou, Burkina Faso kwenda Algiers ikiwa na abiria 116, imeanguka.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mabaki ya ndege Algeria yaonekana

Mabaki ya ndege iliyopotea ikiwa na watu 116 njiani kutoka Burkanafaso kwenda Algers yamepatikana nchini Mali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege yawaua 100 Algeria

Ndege ya jeshi imeanguka ikiwa imebeba zaidi ya watu 100 nchini Algeria

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Algeria yatoweka na watu 116

Maafisa wa Serikali mjini Algiers wamedhibitisha kuwa wamepoteza mawasiliano na ndege ya abiria ikitoka Burkina Faso.

 

11 years ago

Bongo5

Just In: Ndege ya Algeria iliyokuwa na watu 116 yaanguka

Ndege ya shirika la Air Algerie la Algeria iliyokuwa ikitoka nchini Burkina Faso kwenda Algiers na kuripotiwa kupotea kwenye radar mapema leo, imethibitishwa kuwa imeanguka. Msako wa kutafuta mabaki ya ndege hiyo unaendelea na ilikuwa na abiria zaidi ya 100 na wafanyakazi 6. Awali mamlaka inayohusika na uchunguzi wa anga ilisema ilipoteza mawasiliano na ndege […]

 

11 years ago

GPL

ALGERIA YATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO BAADA YA AJALI YA NDEGE

Ndege aina ya Hercules C-130 baada ya kupata ajali. Algeria imeanza siku tatu za maombolezi ya kitaifa kufuatia ajali ya ndege iliyowaua watu 77 Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo. Abiria mmoja alinusurika ajali hiyo iliyohusisha ndege aina ya Hercules C-130 iliyoanguka katika eneo la milima ya Oum al-Bouaghi, ikiwa njiani kuelekea mji wa Constantine. Kikosi cha uokoaji kikiwa eneo la tukio. Ripoti… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani