Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NDOA SASA YAMZEESHA MAIMARTHA

Stori: Hamida Hassan
Mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’ ameibuka na kusema kuwa kitendo cha yeye kuingia kwenye maisha ya ndoa kimemsababisha sasa aonekane kama aliyezeeka kwani mambo mengi ya kisichana ameyaacha. Mtangazaji Maimartha Jesse ‘Mai’. Akizungumzia maisha anayoishi Mai alisema, zamani alikuwa ikifika wikiendi anafikiria akajirushe wapi lakini sasa hivi imebaki historia kiasi cha baadhi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

NDOA YA MAIMARTHA YANUSURIKA KUVUNJIKA

Stori: Imelda Mtema NDOA ya mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse imenusurika kuvunjika baada ya kidudu mtu kutumia jina lake kwa kuwatukana watu, kusambaza umbea hadi kwa mumewe. Mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse. Akielezea kwa undani sakata hilo, Maimartha alisema mtu huyo ameeneza umbea kuwa (Maimartha) ana uhusiano nje ya ndoa. “Nina wakati mgumu sana, huyu msichana anatumia jina langu mpaka kwenye...

 

10 years ago

GPL

NDOA YA SAUDA MWILIMA SASA NI SHIDA!

Stori: Gladness Mallya Oooh nooo! Miaka miwili baada ya kufunga pingu za maisha (ndoa) na mwanaume aitwaye Kauli Juma, imefichuka kwamba ndoa ya prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima ina shida kwani haishi na mumewe, ikidaiwa kwamba kila mmoja anaishi nchi tofauti na mwenzake. Prizenta wa Star TV, Sauda Mwilima akiwa na mume wake, Kauli Jumasiku ya harusi yao. Kikizungumza na Ijumaa Wikienda, chanzo makini ambacho ni mtu wa karibu...

 

11 years ago

GPL

SHIJA SASA ATAMANI NDOA NA WASTARA

Stori: Gladness Mallya MSANII wa filamu Bongo, Deogratius Shija amefunguka kuwa anatamani sana kumuoa msanii mwenzake, Wastara Juma lakini anaamini kikwazo kitakuwa ni dini. Msanii wa filamu Bongo, Deogratius Shija. Akistorisha na paparazzi wetu, Shija alisema tangu kabla msanii huyo hajaolewa na aliyekuwa mumewe, Marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, alikuwa anampenda lakini bahati haikuwa yake hivyo kwa sasa anatamani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndoa Uhispania sasa mpaka miaka 16

Serikali ya Uhispania imetangaza kuwa kuanzia leo Alhamisi raia wa chi hiyo watakubaliwa kufunga ndoa kisheria watakapotimiza umri wa miaka 16 badala ya miaka 14 ilivyokuwa awali

 

11 years ago

GPL

OTILIA SASA KUFUNGA NDOA BOMANI

Stori: Gladness Mallya
JAPOKUWA Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface alibadili dini na kuwa Muislamu baada ya kupata mchumba ambaye ni muumini wa dini hiyo, imebainika anatarajia kufunga ndoa ya bomani kutokana na ndugu zake kutoridhika na uamuzi wake wa awali. Mnenguaji wa Bendi ya Extra Bongo, Otilia Boniface Rafiki wa karibu wa Otilia aliyeomba hifadhi ya jina alisema kuwa, mnenguaji huyo aliyepata mchumba...

 

9 years ago

Mtanzania

Kanisa Katoliki sasa kuvunja ndoa

papa1KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis jana alieleza mabadiliko mapya yanayolenga kuwarahisishia Wakatoliki kuvunja ndoa zao na kuoa upya.

Dhamira hiyo ni ishara nyingine ya dhamira ya Papa huyo kutaka kulifanya Kanisa Katoliki liwe rafiki zaidi na kuendana matakwa ya walio wengi.

Akizungumza kuhusu mabadiliko hayo, Papa alisema si haki kwa wenzi kuishi muda mrefu ‘wakikandamizwa na wingu la shaka’ kuhusu uhalali wa ndoa zao.

Ikumbukwe kwamba ni msimamo wa Papa kumkatalia Mfalme...

 

11 years ago

Mwananchi

Sheria ya ndoa sasa kupigiwa kura ya maoni

Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Angellah Kairuki amesema kuwa Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 iko kwenye mchakato wa kurekebishwa kutokana na utata unaokinzana na sheria nyingine za masuala ya kijinsia.

 

10 years ago

GPL

KOLETA SASA NIPO TAYARI KUZAA BILA NDOA

Msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’. Na Gladness Mallya/ Amani
KUTOKANA na umri kumtupa mkono, msanii wa filamu Bongo, Coletha Raymond ‘Koleta’ ameibuka na kutengua kauli aliyowahi kuitoa kwamba hawezi kuzaa nje ya ndoa na kusema kwa sasa yupo tayari kufanya hivyo muda wowote. Akistorisha na Amani, Koleta alisema kwa sasa yupo tayari kuzaa hata bila ndoa kwani ni muda mrefu amekuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Kanye West kumtengenezea mwanae North pete ya ndoa, sasa

Katika kuonesha ni kiasi gani anampenda mwanae, North, Kanye West amepanga kumtengenezea pete ya thamani ya kumvisha kwenye kidole cha ndoa, chanda. Kwa mujibu wa mtandao wa HollywoodLife, Kanye anataka kuwa mtu wa kwanza kumvisha pete hiyo kidoleni kwake. Kanye atamvisha mwanae pete hiyo ya almasi wakati huu akiwa na mwaka mmoja tu. “Yupo kwenye […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani