NEC yafungua kituo kujibu wapigakura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP), imezindua kituo cha huduma kwa ajili ya kujibu maswali ya wapigakura kuhusu mambo yenye utata kwenye Uchaguzi Mkuu na kupokea taarifa kutoka kwa wananchi za mchakato huo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo13 Oct
NEC: Wapigakura halali ni mil. 22.7
SIKU 12 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani nchini, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebainisha idadi kamili ya Watanzania wanaostahili kupiga kura siku ya Oktoba, 25, mwaka huu), kuwa ni milioni 22.7 na si milioni 23.7 ya awali.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa
10 years ago
Mwananchi30 Jun
NEC yaahirisha uandikishaji wapigakura Dar
10 years ago
Habarileo12 Feb
NEC, wanasiasa kujadili daftari la wapigakura
WAKATI Uandikishaji katika daftari la Kudumu la Wapiga Kura, unatarajiwa kuanza rasmi Jumatatu ya wiki ijayo, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) leo inakutana na Vyama vya siasa kujadili mchakato huo.
10 years ago
Habarileo14 Aug
NEC yataja masharti Daftari la Wapigakura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linalotarajiwa kuanza hivi karibuni linamhusu kila raia mwenye sifa ya kupiga kura.
11 years ago
Mwananchi21 Jun
NEC yakiri kasoro daftari la wapigakura
11 years ago
Habarileo30 Jan
NEC yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza mchakato wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kwa kuanza kuhakiki vituo vya uandikishaji na kupiga kura vitakavyoongezeka kwa lengo la kuvisogeza karibu zaidi na wananchi.
9 years ago
Mwananchi13 Oct
NEC, vyama wagongana hatima ya Wapigakura Oktoba 25
10 years ago
Mwananchi22 Jan
NEC: Hakuna mabadiliko ya ratiba Daftari la Wapigakura