Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngassa fiti kuivaa Zimbabwe

>Mshambuaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa yuko fiti kushuka uwanjani Jumapili kukichezea kikosi hicho katika pambano lao dhidi ya Zimbabwe litakalopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Luis Suarez yuko fiti kuivaa England leo

Mshambuliaji wa Liverpool alikuwa nje katika mchezo wa Uruguay dhidi ya Costa Rica kwa ajili ya jeraha lake la goti, lakini anatarajiwa kuanza katika mchezo wa leo dhidi ya England.

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars wanawake kuivaa Zimbabwe

Timu ya taifa ya wanawake ya mpira wa magongo kesho jumamosi inatarajia kushuka dimbani kutupa karata yake ya kwanza muda wa saa nane mchana dhidi ya Zimbabwe.

 

10 years ago

GPL

MAGUFULI NIKO FITI

Stori: Na Richard Bukos, Kagera NIKO fiti! Ndivyo alivyosema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli kuudhihirishia umma kwamba yupo fiti kimazoezi. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli akipiga push up.
Tukio hilo lililoibua…

 

10 years ago

Vijimambo

Gwajima fiti, kuhojiwa leo.

Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima (pichani), anatarajiwa kuhojiwa leo na Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam katika Kituo cha Polisi cha Kati huku wasaidizi wake wakisema afya imeimarika na yupo tayari kwa mahojiano hayo.

Akizungumza na NIPASHE Mwanasheria wa Askofu Gwajima, Paul Mallya, alisema jana kuwa mteja wake afya yake imeimarika na yupo tayari kwa mahojiano ya mwisho leo.

“Mteja wangu anaeandelea vizuri, kesho (leo) saa mbili asubuhi atahojiwa kama...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Aguero fiti kuiimarisha Argentina

>Angel Di Maria ameenguliwa katika kikosi cha Argentina kitakachocheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, lakini Sergio Aguero yupo fiti kwa ajili ya mchezo huo baada ya kupona maumivu ya misuli.

 

9 years ago

Bongo5

Steven Gerrard arudi Liverpool kujiweka fiti zaidi

gerrard4

Nahodha wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard amerudi katika mji wake wa nyumbani kufanya mazoezi na timu yake ya zamani tangu umalizike msimu wa Major League Soccer na timu ya LA Galaxy ya Marekani. Amekaribishwa na kocha Jurgen Klopp siku ya Jumatatu.

gerrard1
Steven Gerrard akielekea Melwood, Liverpool kufanya mazoezi

Mjerumani huyo amefanikiwa kumaliza mazungumzo haraka kuhusu kumrudisha Gerrard Anfield – kwani anarudi klabuni kufanya mazoezi.

klopp
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp akiwasili katika...

 

10 years ago

GPL

MAMA DIAMOND AREJEA KUTOKA INDIA, YUPO FITI

Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mama yake Sanura Kassim.
MUSA MATEJA/Amani HAKUNA neno linaloweza kusemwa kwa mara nyingine zaidi ya Mungu ni mwema! Kauli hiyo inakuja kwa mara nyingine baada ya mama mzazi wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim a.k.a Sandra kurejea nchini akiwa yupo fiti. Habari rasmi kutoka chanzo cha kuaminika zinaeleza kwamba, mama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani