MAGUFULI NIKO FITI
![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyU7yrA7jIM1ea9N0HdsterQfRb0M-g9QLGMYp3vErmDJgf*ZbuuQKed7YqnUSSU9zR3lBj47CCq2v2uKAalYa1C/magufuli.jpg?width=650)
Stori: Na Richard Bukos, Kagera NIKO fiti! Ndivyo alivyosema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli kuudhihirishia umma kwamba yupo fiti kimazoezi. Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Pombe Magufuli akipiga push up. Tukio hilo lililoibua…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi16 May
Ngassa fiti kuivaa Zimbabwe
10 years ago
Vijimambo09 Apr
Gwajima fiti, kuhojiwa leo.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Gwajima-09April2015.jpg)
Akizungumza na NIPASHE Mwanasheria wa Askofu Gwajima, Paul Mallya, alisema jana kuwa mteja wake afya yake imeimarika na yupo tayari kwa mahojiano ya mwisho leo.
“Mteja wangu anaeandelea vizuri, kesho (leo) saa mbili asubuhi atahojiwa kama...
11 years ago
Mwananchi08 Jul
BRAZIL 2014: Aguero fiti kuiimarisha Argentina
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/hSJwfFpvS8I/default.jpg)
9 years ago
Bongo501 Dec
Steven Gerrard arudi Liverpool kujiweka fiti zaidi
![gerrard4](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/gerrard4-300x194.jpg)
Nahodha wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard amerudi katika mji wake wa nyumbani kufanya mazoezi na timu yake ya zamani tangu umalizike msimu wa Major League Soccer na timu ya LA Galaxy ya Marekani. Amekaribishwa na kocha Jurgen Klopp siku ya Jumatatu.
Steven Gerrard akielekea Melwood, Liverpool kufanya mazoezi
Mjerumani huyo amefanikiwa kumaliza mazungumzo haraka kuhusu kumrudisha Gerrard Anfield – kwani anarudi klabuni kufanya mazoezi.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp akiwasili katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/gDF3S0THO9wia9np6pK13l2GUuulJ65G208ptUHfWVGDwv*6P7JyTaMhgO-qCGHdDevxIoTGCSaVSNd2W0WSD*M5r*ZGQEq7/mamanadiamond.jpg)
MAMA DIAMOND AREJEA KUTOKA INDIA, YUPO FITI
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/whaw-KAIyDI/default.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Brazil 2014: Luis Suarez yuko fiti kuivaa England leo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-RDE-EQ7pFXA/XqFaMTGgMWI/AAAAAAALn8c/QgZBxvgVx1wstIcU0NGX3kfW_w6e95M2ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200422-WA0008.jpg)
MHANI:WACHEZAJI JIFUENI MAJUMBANI KUJIWEKA FITI WAKATI MKIJIKINGA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-RDE-EQ7pFXA/XqFaMTGgMWI/AAAAAAALn8c/QgZBxvgVx1wstIcU0NGX3kfW_w6e95M2ACLcBGAsYHQ/s400/IMG-20200422-WA0008.jpg)
Mhani alitoa rai hiyo mkoani hapa,ambapo alisema tangu ugonjwa wa corona uingie nchini, hatua mbalimbali zinachukuliwa na serikali kuhakikisha tunapambana nao, huku madaktari bingwa ulimwenguni wakiendelea kutafuta tiba.
"Tangu kuibuka kwa ugonjwa huo wa Corona hatua mbalimbali zimekuwa...