Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngege yapata ajali Afrika kusini

Ndege ya Shirika la British Airways yaharibu sehemu ya jengo uwanja wa ndege wa OR Tambo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imepata pigo jingine kabla ya kukutana na wapinzani wao wa jadi Yanga baada ya kipa wao Hussein Sharrif ‘Casillas’ kuumia ugoko katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini walipoweka kambi.

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAPATA TUZO YA KUWA MWAJIRI BORA NCHINI AFRIKA YA KUSINI

-Inaongoza katika sekta ya mawasilianoKampuni ya mawasiliano ya Vodacom imepata tuzo ya kuwa mwajiri bora katika sekta ya mawasiliano pia ipo miongoni mwa makampuni kumi bora yanayotoa ajira na kuwa na mazingira bora kwa wafanyakazi wake nchini Afrika ya Kusini kwa mwaka 2015.Hafla ya kutangaza makampuni yanayoongoza kwa ajira nchini Afrika ya Kusini ilifanyika jana katika eneo la Gallagher Estate mjini Jahannesburg ambapo Vodacom ilitangazwa kuwa miongoni mwa makampuni 10 bora yanayoongoza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini Kuchunguza ajali ya Twiga

Taasisi inayolinda haki za wanyama Afrika ya Kusini inachunguza kifo cha Twiga ambaye aliyekufa wakati akisafirishwa.

 

11 years ago

Habarileo

Mabasi yapata ajali na kujeruhi 29

WATU 29 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea katika barabara kuu ya Morogoro-Dar es Salaam kwenye maeneo ya Mikese na Mkambalani, mkoani hapa.

 

9 years ago

Global Publishers

Treni iliyobeba tindikali yapata ajali

Queensland, Australia
Treni ya mizigo, iliyokuwa imebeba lita 200,000 za tindikali hatari ya Sulphuric Acid, usiku wa kuamkia leo Jumatatu imepata ajali nje kidogo ya Mji wa Julia Creek, Kaskazini Magharibi mwa Jimbo la Queensland nchini Australia na kuzua hali ya sintofahamu.

TreniPicha ya treni hiyo iliyopigwa kutokea angani

Polisi walilazimika kufunga shughuli zote zilizokuwa zikiendelea kwenye eneo la kilometa 2 kuzunguka eneo la ajali, wakihofia wananchi wanaweza kupata madhara makubwa kwa...

 

11 years ago

Michuzi

YANGA YAPATA AJALI MIKESE MKOANI MOROGORO

Image Wachezaji wa Yanga wakiwa na viongozi wao wamenusurika kupata ajali mbaya jana  asubuhi  eneo la Mikese baada ya basi lao kuingia mtaroni walipokuwa wakisafiri kutokea Morogoro kuelekea Dar es salaam.
Taarifa zinasema kwamba hakuna mchezaji au mtu yoyote aliyeumia katika ajali hiyo. Timu ya Yanga jana ilicheza na wakata miwa wa Mtibwa katika dimba la   Jamhuri mjini Morogoro na matokeo kuwa suluhu ya 0-0.

 

11 years ago

Habarileo

MV Kilimanjaro yapata ajali Zanzibar, sita wafariki

 Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar MakameWATU sita wamefariki dunia na wengine watatu kuokolewa katika boti ya abiria ya MV Kilimanjaro iliyokumbwa na dhoruba ya mawimbi makali kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa baharini.

 

10 years ago

Michuzi

NDEGE YAPATA AJALI UWANJANI WAKATI IKITUA

Ndege ya shirika la Delta, AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa senyenge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa ndege kuruka au...

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA JWTZ YAPATA AJALI JIJINI MWANZA LEO

Ndegevita moja ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ikiteketea kwa moto huku jitihada za kuuzima zikiendelea katika ajali iliyotokea leo Februari 27, 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa MwanzaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa ya ajali ya Ndegevita moja (1) iliyotokea leo tarehe 27 Februari 2015 katika uwanja wa ndege wa kijeshi wa Mwanza.

Ndegevita za JWTZ zilikuwa katika mazoezi ya kawaida ya kivita, Wakati rubani wa ndegevita...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani