Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngeleja awaita UKAWA mezani

SUKU moja baada ya vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kueleza kusudio lao la kufungua kesi Mahakama Kuu kuhoji mamlaka ya Bunge Maalumu la Katiba, Mwenyekiti Kamati ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kikwete awaita Ukawa Ikulu

Rais Jakaya Kikwete

Rais Jakaya Kikwete

NA WAANDISHI WETU, MOROGORO NA DODOMA

RAIS Jakaya Kikwete amesema yupo tayari kukutana na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ili kunusuru mchakato wa Katiba mpya.

Kauli hiyo ya Rais Kikwete imekuja siku chache baada ya baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani kupinga hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), kumtuma Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, kusaka suluhu na viongozi wa Ukawa.

Akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro juzi, mara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Azam FC yawaita Yanga mezani

UONGOZI wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Azam FC, umewataka Yanga kwenda kufanya mazungumzo kama wanamuhitaji kiungo wao, Salum Abubakari ‘Sure Boy’, kwani bado wana mkataba naye. Yanga wamefikia...

 

11 years ago

Mtanzania

Sakata la SIKIKA latua mezani kwa Ghasia

Hawa Ghasia

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Hawa Ghasia

Na Khamis Mkotya, Dar es Salaam

SAKATA la kufungiwa kwa Shirika la SIKIKA wilayani Kondoa limechukua sura mpya baada ya shirika hilo kumwandikia barua Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia.

Barua hiyo iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Irenei Kiria, ilipelekwa ofisini kwa Ghasia Jumatano zikiwa zimepita wiki mbili tangu shirika hilo kufungiwa wilayani...

 

11 years ago

GPL

Simba wakaa mezani na Pluijm kwa saa sita

  Na Hans Mloli
USAJILI wa kuwindana unaendelea kushika hatamu lakini upande wa pili wa shilingi juzi Kocha wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der Pluijm na baadhi ya viongozi wa Simba, waliweka tofauti hizo za soka pembeni na kufanya mazungumzo kwa takribani saa sita na ushee. Viongozi hao walikutana na kocha huyo na kukaa meza moja na kuzungumza huku wakipata vinywaji walipohudhuria kwenye tukio zima la utoaji wa tuzo za...

 

5 years ago

Michuzi

Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya Mezani


Diamond Blackjack ndio Habari mpya kwenye Michezo ya MezaniMeridianbet kasino imetengeneza utaratibu mzuri sana wa kuwapa wateja wake michezo bora ya Sloti na Karata. Na imekua si ajabu tena kwakua tumekuletea mchezo mwingine Bora kabisa wa Sloti Kasino wa Diamond Blackjack.
Blackjack ya kwanza kabisa ya Meridian ni Mchezo wa karata wa mezani ambao Haukwepeki na wala hautabiliki  ukilinganisha na michezo mingine ya Kasino inachochezwa kidigitali. Mchezo huu umeleta pamoja Upekee na mpangilio...

 

11 years ago

Michuzi

Washindi wa Mpira wa mezani (Heineken Foosball) wakwea pipa kuelekea Ibiza

Washindi wa mpira wa mezani (Heineken Foosball ) Eric Ducan Lissa (Wa kwanza kushoto) na Ntoli Mwaikombo (wapili kulia) wakiwa na mizigo yao kabla kukaguliwa uwanjani JNIA tayari kwa safari ya Ibiza, hispania kuangalia live screen ya fainali za kombe la mabingwa ulaya kwenye sehemu maalum iliyotengwa na Heineken kwa ajili ya watu maalum. Wamesindikizwa na mliki wa bar ya Didi’s Bwana Hillary Mremi (wa pili kushoto) na Mwakilishi wa Heineken Tanzania Amon Theonest. Eric alitabiri ushindi wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Simba waanza kulegeza kamba, kazi kwa Mo kuweka mzigo mezani

moi2

Pichani ni Mohammed Dewji  alipokuwa mgeni rasmi wa tamasha la Simba Day, akisalimiana na mmoja wa wadau kwenye jukwaa kuuna kulia ni Nyange Kaburu.  (Pichana Maktaba yetu).

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Lile dili la mfanyabiashara mkubwa nchini, Mohamed Dewji kununua hisa katika klabu ya Simba SC linaonekana kuiva baada ya makamu wa rais wa Simba kuzungumzia dili hilo kuwa ni jambo nzuri la linafaida katika soka la sasa.

Akizungumza katika kipindi cha E Sport kinachorushwa na E Fm,...

 

11 years ago

Mwananchi

Manji awaita wanaompinga

Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amelitaka kundi la wanachama wanaopinga uamuzi wa mkutano mkuu wa kumwongezewa muda wa kuiongoza klabu hiyo, kujiorodhesha na yeye atakuwa wa kwanza  kufanya hivyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Bengo awaita Yanga

Kiungo wa KCC ya Uganda, Steven Bengo amesema yuko tayari kuichezea Yanga kama viongozi wake watamfuata.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani