NGELLEJA: Wasanii ni mgodi uliokosa mwekezaji Tanzania
SEKTA ya sanaa katika nchi zilizoendelea imekuwa ikitoa ajira kubwa pamoja na uchangiaji wa pato la taifa, lakini kwa Tanzania thamani ya wasanii haipatiwi uzito unaostahili. Katika ripoti mojawapo ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
ESCROW ni msiba uliokosa mnyamazishaji
KATI ya kashfa iliyojaribu kukumbatiwa na viongozi waandamizi wa Serikali na kutaka kufunikwa ili kuwanyima haki yao ya msingi Watanzania ya kuhoji, kuchambua na kuchukua hatua ni kashfa ya kampuni...
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Mgodi wa mkasa Tanzania
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-_aEVNIHNAJ8/U8FW1jeuMBI/AAAAAAAF1kQ/KEWVytqu31U/s72-c/download.jpg)
wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania
![](http://3.bp.blogspot.com/-_aEVNIHNAJ8/U8FW1jeuMBI/AAAAAAAF1kQ/KEWVytqu31U/s1600/download.jpg)
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Wachimba mgodi 5 wafariki Geita Tanzania
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Wasanii Tanzania waikataa Cosota
NA KHABIBU NASSORO, (MUC)
WASANII wa muziki nchini wameukataa uongozi wa Cosota kutokana na usimamizi mbaya wa kazi zao.
Wakizungumza na waandishi wahabari katika kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Little Theatre, jijini Dar es Salaam jana, walisema hawana imani na uongozi wa Cosota na kampuni ya kusimamia kazi za wasanii Afrika Mashariki (CMEA).
“Hatuna imani na Cosota, CMEA na Basata kutokana na kushindwa kusimamia kazi zetu.
“Hata mchakato uliotumika kupata viongozi wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-RQYLfxuq9zI/VHg6tZkjMTI/AAAAAAACvh4/Td7Qm1ZyjDY/s72-c/BasketMouth.jpg)
Msanii wa Komedy wa Nigeria awasifu wasanii wa Tanzania
![](http://2.bp.blogspot.com/-RQYLfxuq9zI/VHg6tZkjMTI/AAAAAAACvh4/Td7Qm1ZyjDY/s1600/BasketMouth.jpg)
Akizungumza Dar es Salaam jana baada ya kuwasili kutoka Nigeria kwa ajili ya onesho maalum kushirikiana na wasanii wa Tanzania juzi Dar es Salaam alisema kutoka aanze sanaa ya vichekesho miaka 16 iliyopita amekuwa akipata sifa za wasanii wa Tanzania wakiwika katika fani za muziki, sanaa za filamu, ...
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Wasanii wa Tanzania ‘wafunikwa’ Tamasha la Sauti za Busara
10 years ago
Bongo512 Nov
AT awataka wasanii kuacha kuwadharau ma-director wa Tanzania
11 years ago
Michuzi27 Apr