Ngoma abadili mfumo wa ushambuliaji Yanga
Kocha wa Yanga, Hans Van Pluijm amelazimika kubadili mbinu za ushambuliaji wake ili kumlinda mshambuliaji Donald Ngoma dhidi ya mabeki wa timu pinzani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Sep
Yanga ukuta, Azam, Simba ushambuliaji
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Donaldo Ngoma kutua Yanga
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Yanga ngoma inogile kileleni
10 years ago
Mtanzania02 Apr
Pluijm atambia ushambuliaji
JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR
KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans van Der Pluijm, amedai kuwa moto wa mshambuliaji wake, Amissi Tambwe anayeshirikiana vema na mawinga, Mrisho Ngassa na Simon Msuva utamwezesha kuiua FC Platinum ya Zimbabwe ugenini.
Yanga itachuana na Platinum keshokutwa kwenye mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika, utakaofanyika Uwanja wa Mandava, uliopo jijini Zvishavane.
Kikosi cha Yanga kinaondoka nchini kesho kikiwa kifua mbele kutokana na ushindi wa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-RYP5D9EXZP4/VZPPhegJ7bI/AAAAAAABNiE/HnVCy5cOWHs/s72-c/IMG-20150701-WA0007.jpg)
RASMI YANGA YAWATAMBULISHA NGOMA, TETTEH
![](http://3.bp.blogspot.com/-RYP5D9EXZP4/VZPPhegJ7bI/AAAAAAABNiE/HnVCy5cOWHs/s640/IMG-20150701-WA0007.jpg)
Rasmi uongozi wa Yanga umewatambulisha wachezaji wake Donald Ngoma kutoka Zimbabwe na Joseph Zuttah ‘Tetteh’ raia wa Ghana.
Wawili hao wameingia mkataba wa miaka miwili kuinoa Yanga na leo walitambulishwa na Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Jerry Muro.Source:Salehjembe
9 years ago
Habarileo26 Oct
Ngoma: Nitaendelea kuwapa raha Yanga
MSHAMBULIAJI mahiri wa Yanga, Donald Ngoma amesema ataendelea kuwapa raha mashabiki wa timu hiyo katika kila mchezo kwani ameshaizoea Ligi Kuu Tanzania Bara. Kutokana na hali hiyo, Ngoma amesema ndoto yake ya kuhakikisha Yanga inatetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu itatimia kwani wachezaji wenzake wa Yanga wameelewa uchezaji wake na namna ya kumtengenezea nafasi za kufunga.
10 years ago
Mtanzania21 Aug
Yanga, Coastal Union ngoma droo
![Kikosi cha Yanga](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Kikosi-cha-Yanga.jpg)
Kikosi cha Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
HAKUNA mbabe, unaweza kusema hivyo baada ya klabu ya Yanga na Coastal Union kuamua yaishe kwa kupokezana Uwanja wa Gombani, Chake chake Pemba kwa ajili ya kufanya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara inayotarajia kuanza Septemba 20.
Timu hizo zote zimejikuta zikiwa na vibali vya kuutumia uwanja huo kwa ajili ya maandalizi hayo, ambapo kila mmoja alishindwa kumuachia mwenzake hadi walipoamua kuafikiana.
Kutokana na kuafikiana huko, Coast...
10 years ago
Mwananchi26 Jun
Ngoma kuanza kibarua Yanga kesho