NHC yaongeza miradi ya bilioni 600/=
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, amesema shirika hilo limefanikiwa kuongeza miradi yake na kufikia Sh bilioni 600 kwa miaka mitano.
Mafanikio hayo aliyasema jana jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza na wahariri, aliwaambia kwamba mafanikio hayo ni mwanzo na wanatarajia kupata zaidi katika miaka miwili ijayo.
“Mwaka 2010 shirika hili lilikuwa na miradi ya Sh bilioni 4 lakini hivi sasa tumefanikiwa kufikisha bilioni...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog04 May
Kasi ya Utekelezaji miradi ya NHC Mtwara yamhamasisha Mkurugenzi wa Bodi ya NHC
Mkurugenzi wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Mchumo akielekeza jambo wakati wa ziara yake aliyoifanya kwenye mradi wa nyumba za gharama nafuu Masasi, mkoani Mtwara ambapo pamoja na mambo mengine amesifu kasi ya ujezi wa nyumba hizo unaozingatia viwango na muda na akawataka wafanyakazi wa NHC kuchapa kazi ili kufikia malengo yao waliyojiwekea. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi, wa pili ni Eliaisa Keenja wa NHC, Meneja wa NHC mkoa wa Mtwara, Joseph John na Injinia...
9 years ago
VijimamboNHC YAZIDI KUPANUA MIRADI, PINDA AZINDUA JENGO LINGINE LA MAKAZI NHC PALACE ENEO LA VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jEI2iEfKUOh8cv7zWg3Q5sWHyFZF5y6vFlue6CFi2EOZPV77eK8HUlWNSxHNr9F4Uxx9C6VLtxy*NpIW-jRJHd8e1YzKBgA1/JakayaKikwete.jpg?width=650)
BILIONI 600 ZIMEPIGWA, AFU KIMYA!
10 years ago
Vijimambo22 May
BILIONI 600 ZIMEPIGWA MCHANA KWEUPE TUNAISHIA KUJIUZULU
![](http://api.ning.com/files/jEI2iEfKUOh8cv7zWg3Q5sWHyFZF5y6vFlue6CFi2EOZPV77eK8HUlWNSxHNr9F4Uxx9C6VLtxy*NpIW-jRJHd8e1YzKBgA1/JakayaKikwete.jpg?width=650)
TUNAAMBIWA wakati tukipata uhuru mwaka 1961, nchi yetu ilikuwa na uchumi sawa na nchi kama Singapore, Malaysia na nyingine nyingi zilizokuwa dunia ya tatu. Leo tunapojifananisha na nchi hizo za Asia, tunaonekana vichekesho.
Lakini si nchi hizo mbili tu, bali kuna mataifa mengi yamefanya vizuri kiuchumi kuliko sisi, hata kwa zile za Afrika, bara ambalo historia inatuambia watawala wake wametawaliwa na tamaa, ubinafsi, chuki na wivu dhidi ya wanaowaongoza.
Ndiyo maana...
10 years ago
Dewji Blog01 Nov
NHC watathmini utekelezaji wa ujenzi wa miradi
Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo, Kongwa Dodoma kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli...
11 years ago
Habarileo31 Jan
NHC: Urasimu unachelewesha miradi ya nyumba
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Nyumba nchini (NHC), Nehemia Mchechu ameomba halmashauri nchini kuondoa urasimu katika utoaji ardhi kuepusha unachelewesha wa mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu.
11 years ago
Tanzania Daima01 Jul
NHC yawaalika wawekezaji ujenzi miradi wa nyumba
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limewaalika wawekezaji watakaoshirikiana nao katika ujenzi wa miradi ya nyumba inayofanyika nchini. Mkurugenzi wa Shirika hilo, Nehemiah Mchechu, alitangaza hayo jijini Dar es Salaam...
10 years ago
GPLUTEKELEZAJI WA MIRADI YA NHC MTWARA WASHIKA KASI
5 years ago
MichuziUJENZI MIRADI YA NHC WAMKUNA NAIBU WAZIRI MABULA