NHIF yaombwa kufika nchi nzima

Na Grace Michael, Arusha
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya umeombwa kutekeleza zoezi la upimaji wa afya za wananchi katika Halmashauri zote nchini ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya namna ya kuepukana na magonjwa hayo ili kuliwezesha Taifa kuwa na wananchi wenye afya imara.
Rai hiyo imetolewa na watumishi mbalimbali katika mkutano wa kwanza wa mwaka wa Serikali Mtandao uliofanyika mkoani hapa ambapo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya ulitoa huduma za upimaji afya bure katika magonjwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
NHIF YAOMBWA KWENDA NCHI NZIMA'>NHIF YAOMBWA KWENDA NCHI NZIMA



Na Grace Michael, ArushaMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya umeombwa kutekeleza zoezi la upimaji wa afya za wananchi katika Halmashauri zote nchini ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya namna...
10 years ago
Michuzi
NHIF yaombwa kuendelea na huduma ya upimaji wa afya bure

Na Catherine Kameka
WADAU wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wameuomba Mfuko huo kuendeleza programu za upimaji wa afya bure ili kuwasaidia wanachama wake na wananchi kwa ujumla kujua hali za afya zao lakini...
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Chadema kutikisa nchi; Helikopta tatu kurushwa nchi nzima
9 years ago
Habarileo23 Dec
Bomoabomoa nchi nzima
WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imesimamisha kazi ya bomoabomoa kwa siku 15 kwa wavamizi waliojenga katika Bonde la Mto Msimbazi, Dar es Salaam na kuwataka wavamizi hao kubomoa wenyewe na kuondoka maeneo hayo, kabla ya kazi hiyo kuanza tena Januari 5, mwakani.
10 years ago
GPL
ESCROW MPASUKO NCHI NZIMA
11 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Walimu kuandamana nchi nzima
BARAZA la Taifa la Chama cha Walimu Tanzania (CWT), limetoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmshauri nchini kuwapa barua za kuwapandisha vyeo walimu wanaostahili la sivyo watafanya maandamano nchi nzima....
11 years ago
Mwananchi19 Apr
Ukawa kusambaa nchi nzima
11 years ago
Habarileo23 Jun
Bodaboda zabanwa nchi nzima
POLISI imetangaza operesheni nchi nzima ya kukamata madereva wa pikipiki (bodaboda), wasiofuata sheria za usalama barabarani, wakiwemo wanaopita taa nyekundu bila kuruhusiwa.
11 years ago
GPL27 Jul
MASHUJAA BAND KUZUNGUKA NCHI NZIMA