Ni mtihani wa kwanza kwa Chadema
BAADA ya kuruhusu ujenzi holela kuendelea kwa zaidi ya miongo miwili, Jiji la Mbeya sasa kuanza u
Felix Mwakyembe
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Mtihani wa kwanza Somalia katika miaka 25
11 years ago
Dewji Blog27 Jul
Chadema Makete wafanya uchaguzi mkuu kwa mara ya kwanza
Msimamizi wa Uchaguzi Bw. Alfred Kayombo (kulia) akimtangaza mshindi wa nafasi ya mwenyekiti Bw. Ibrahim Ngogo.
Na Edwin Moshi, Makete
Kwa mara ya kwanza katika historia, chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wilaya ya Makete mkoani Njombe kimefanya uchaguzi wa uongozi mbalimbali ambapo Bw. Ibrahim Ngogo amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama hicho wilaya.
Akitangaza matokeo msimamizi wa uchaguzi huo Bw. Alfred Kayombo amesema Bw. Ibrahim Ngogo amepata kura 25 akifuatiwa na Isaac...
11 years ago
GPLCHADEMA MAKETE WAFANYA UCHAGUZI MKUU KWA MARA YA KWANZA
11 years ago
Michuzi27 Jul
CHADEMA WILAYANI MAKETE WAFANYA UCHAGUZI MKUU KWA MARA YA KWANZA
Na Edwin Moshi, MaketeAkitangaza matokeo msimamizi wa uchaguzi huo Bw. Alfred Kayombo amesema Bw. Ibrahim Ngogo amepata kura 25 akifuatiwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-OT3wME3oOKQ/VRGCSog4UMI/AAAAAAAAAtc/QIzsmi1VC2A/s72-c/ukawa%2Bpicha.jpg)
Mtihani mgumu kwa Ukawa .... isome makala hii kwa makini na mwishowe utoe maoni yako
![](http://3.bp.blogspot.com/-OT3wME3oOKQ/VRGCSog4UMI/AAAAAAAAAtc/QIzsmi1VC2A/s640/ukawa%2Bpicha.jpg)
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Ni mtihani wa Kerr kwa Azam
MSHAMU NGOJWIKE
KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, leo atakuwa na mtihani mgumu wakati timu yake itakapokabiliana na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Hata hivyo, Kerr mwenyewe ameingiwa na wasiwasi ambapo amesema Azam FC ni timu nzuri, lakini atahakikisha timu yake inapata ushindi kwenye mchezo huo.
Simba imerejea juzi ikitokea Zanzibar ilipoweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na ligi hiyo na jana ilifanya mazoezi ya mwisho katika Uwanja wa...
10 years ago
Habarileo12 Sep
Mbaroni kwa kuzuia bintiwe mtihani la 7
WAKATI wanafunzi wa darasa la saba juzi na jana walifanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, mzazi mmoja mkazi wa hapa, amejikuta akiingia matatani na vyombo vya dola kutokana na kumzuia binti wake asifanye mtihani, kwa kile kinachoelezwa alihofia akifaulu angekwamisha mpango wake wa kutaka kumuozesha.
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Nhef_GytxQU/VbYiypb9zwI/AAAAAAAAWsM/4QyH2yItbbM/s72-c/EL%2528CDM%2529%2BVS%2BJM%2528CCM%2529%2B210%2BGE.jpg)
RATIBA YA LOWASSA MTIHANI KWA DK MAGUFULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-Nhef_GytxQU/VbYiypb9zwI/AAAAAAAAWsM/4QyH2yItbbM/s640/EL%2528CDM%2529%2BVS%2BJM%2528CCM%2529%2B210%2BGE.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Dec
usajili wa Messi mtihani kwa Chelsea