Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni vema tuwafahamu wagombea sasa

KATIKA siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala wa kisiasa unaotokana na onyo lililotolewa na viongozi wa juu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwaonya wanachama wake wenye nia ya kugombea...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

IPO HAJA KWA WAGOMBEA URAIS KUJITANGAZA SASA

Dk. Hamisi Kigwangala. NIMSHUKURU Mungu kwa kunipa afya njema ya kuweza kuzungumza na nyinyi kupitia safu hii.
Niseme tu kwamba gumzo kubwa ambalo linatawala katika ‘viwanja’ vya siasa ni wagombea urais ambao watamrithi Rais Jakaya Mrisho Kikwete mwakani. Mheshimiwa Januari Makamba. Tayari watu kadhaa wametajwa na wengine kutangaza nia yao ya kuwania nafasi hiyo ya juu ya uongozi… ...

 

9 years ago

StarTV

Mdahalo wa wagombea Ukawa wadai hawana muda kwa sasa

Umoja wa Vyama vinavyounda Ukawa umesema kwa sasa haupo tayari kushiriki midahalo inayoandaliwa na Taasisi za Kijamii kwa wakati ni huu na kupinga kauli iliyotolewa na Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania, Kajubi Mukajanga kuwa amewapa mwaliko si kweli.

Ukawa wamesema, si kweli kwamba wamepata mwaliko kutoka MCT na kudai kuwa kauli ya kiongozi huyo wa chombo kinachoheshimika ni ya upotosha. 

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam, Mwenyekiti mweza wa Umoja wa Ukawa,...

 

10 years ago

Mwananchi

MBOWE: Ninaendelea vema

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Freeman Mbowe amesema uchovu ndiyo sababu iliyomfanya kuugua ghafla jana na kulazwa katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Urafiki wa China tuuangalie vema

KATIKA siku za karibuni  nimekuwa ninapata wasi wasi ninaposikia au kuona nchi yetu inawafungulia milango Wachina kama ndugu na marafiki tunaotarajia kuchangia maendeleo ya nchi yetu. Hali hii haitokani na labda...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAJIANDAA VEMA NA USIMAMIZI WA URANI


 Picha mbali mbali za wajumbe na viongozi na wataalamu (washauri) kutoka shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) pamoja na wafanyakazi wa Tume ya nguvu za Atomiki Tanzania wakiwa katika semina ya juu ya usimamizi wa sheria na kanuni za usimamizi wa mionzi ya nyuklia Tanzania, iliyofanyika makao makuu ya Tume ya Mionzi Tanzania yaliyopo jijini Arusha. Picha na Yohana Challe.
NA; YOHANA CHALLE ARUSHA.TUME ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC), imesema kuwa imejiandaa vilivyo katika usimamizi wa...

 

9 years ago

Raia Mwema

Ni vema kutafiti kabla kuwadharau wasanii

WIKI iliyopita kwenye gazeti hili (la Raia Mwema) kulikuwa na makala yenye kichwa: “Baraza jipya

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watendaji Njombe kutumia vema baraza la biashara

WATENDAJI wa Wilaya za Mkoa wa Njombe, wametakiwa kutumia fursa ya uwepo wa Baraza la Biashara la Mkoa kuunganisha sekta ya umma na binafsi kujadili kutatua changamoto zilizopo katika biashara...

 

9 years ago

StarTV

Wakazi wa Arusha waeleza kuzipokea vema sheria ya mtandao

Sheria za makosa ya mtandao na miamala ya kielektoniki za mwaka 2015 zimeonesha kupokelewa vema na wakazi wa jiji la Arusha kutokana na adha mbalimbali walizokuwa wanakabiliana nazo kabla ya kuanza kwa sheria hizo.

Wakazi hao wameonesha kufurahishwa na jitihada zinazofanywa na Serikali kupambana na makosa ya mtandao hasa katika nyakati hizi ambapo matukio ya namna hiyo   yameshamri.

 

Wakati wananchi wakizungumza hayo Wizara ya mawasiliano sayansi na teknolojia imeandaa kikao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani