Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niang mmh! Mwingine aja

Wakati Papa Niang akishindwa kuonyesha makali yake Simba ikilazimishwa suluhu na Mwadui, leo itampokea mshambuliaji mwingine kutoka Senegal, Pape Abdoulaye N’Daw anayetarajiwa kutua jijini Dar es Salaam akitokea Dakar.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba yamtupia virago Niang, mwingine atua

UONGOZI wa Simba umeamua kuachana na mshambuliaji Papa Niang kutoka Senegal.

 

9 years ago

Mwananchi

Pape agandishwa U/Ndege, Niang ‘out’

Simba imemshusha nchini mshambuliaji wa pili kutoka Senegal ndani ya wiki moja, Pape Abdoulaye N’daw baada ya Papa Niang aliyetua nchini Jumamosi na kucheza dhidi ya Mwadui ya Shinyanga kwa dakika 45 na kiwango chake kutowaridhisha wengi kutemwa rasmi.

 

9 years ago

GPL

ULINZI CHUO KIKUU MMH!

HUKU kumbukumbu za tukio la uvamizi wa kigaidi lililosababisha mauaji ya wanafunzi 147 wa Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya zikiwa bado hazijafifia vichwani, hali ya ulinzi Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ‘Mlimani’ inasababisha mguno kutokana na watu kupita ndani ya chuo hicho bila ukaguzi...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IZmrIo

 

9 years ago

Mtanzania

‘Niang bado sana Simba’

??????????????????NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM

INATIA shaka! Ndivyo unavyoweza kuielezea hatima ya mshambuliaji Msenegali, Papa Niang kusajiliwa na timu ya Simba, kufuatia kuonyesha kiwango kisichoridhisha kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya timu hiyo dhidi ya Mwadui katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.

Niang aliyewasili nchini Ijumaa iliyopita kusaka ulaji wa kusajiliwa na Simba inayosaka straika hatari wa kufumania nyavu, alicheza kwa dakika 45 tu za kwanza za mchezo huo kabla ya kutolewa kipindi...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mmh!! Hizi Tatu za Wolper Kiboko..

Hakuna anaebisha kuwa mwigizaji Jackline Massawe “Wolper”ni moja kati ya waigizaji warembo na wenye mvuto zaidi wa muonekano pengine sio kwa hapa bongo tu, bali hata Afrika nzima. Siku ya jana bila kuandika chochote alizibandika picha hizi mtandaoni hivyo kuwapa nafasi "followers" wake wafunguke kwa kile anachokiona kwenye picha hizi.

Kila mtu na jicho lake bwana!! Wapo walioona kitenge, miguu,macho,rangi, na nk ilimradi kila mtu alitililika....

Wewe je,umeona nini hapa?!!!

 

10 years ago

GPL

UKARIBU WA INI EDO, JIM IYKE MMH!

Staa wa Nollywood, Ini Edo. Lagos Nigeria LICHA ya kutambulika kuwa hawana uhusiano wa kimapenzi, lakini ukaribu wa waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke umesababisha tetesi kuenea kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi au wanaelekea wenye ulimwengu huo. Waigizaji wa Nollywood, Ini Edo na Jim Iyke wakiwa kwenye pozi. Wiki hii, Ini Edo alipiga picha akiwa na Jim na kuandika maneno ya kumsifia na kusema kuwa...

 

11 years ago

GPL

Logarusic aja na mabao...

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic. Na Wilbert Molandi
KATIKA kuhakikisha timu yake inafunga mabao mengi katika msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, amekuja na mbinu mpya kwenye kikosi chake.Kocha huyo ambaye raia wa Croatia, alianza kutoa mbinu hizo juzi Alhamisi kwenye mazoezi yake yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Ununio, Boko jijini Dar es Salaam. Kwenye mazoezi hayo, kocha huyo aliwapa...

 

11 years ago

Mwananchi

Sitta aja na ‘falsafa’ ya chura

Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amechaguliwa kwa kishindo kuliongoza Bunge Maalumu la Katiba, huku akisema kuchaguliwa kwake ni sawa na kumrudisha chura kwenye dimbwi la maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani