Nida yalia ukata, uchache wa wafanyakazi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu amesema kuchelewa kwa uandikishwaji na utoaji wa vitambulisho hivyo katika mikoa mingi hapa nchini kumesababishwa na uhaba wa fedha na rasilimali watu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNIDA IMEUNDWA KWA MUJIBU WA SHERIA NA MAJUKUMU YA NIDA YAPO WAZI HIVYO NEC WAACHENI NIDA WAFANYE KAZI KAMA WALIVYOPANGIWA :WAZIRI CHIKAWE
11 years ago
Tanzania Daima17 Apr
TUCTA yalia mishahara duni kwa wafanyakazi
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limebaini kuwa wafanyakazi wengi nchini bado wanakabiliwa na maisha magumu kutokana na malipo duni ya ujira. Pia limesema kutozingatiwa kwa sheria za kazi,...
11 years ago
Tanzania Daima08 Apr
Uchache wa nakala waikwamisha Mr. Kadamanja
UONGOZI wa Kampuni ya kizalendo ya kusambaza filamu za kibongo, 5 Effects Movies Ltd, umesema sababu kubwa iliyosababisha kukawia kuiingiza sokoni sinema ya ‘Mr. Kadamanja’ ni kutokana na kutoa nakala...
10 years ago
Raia Tanzania10 Jul
Ukata waikumba tenisi
TIMU ya Taifa ya Tenisi Walemavu imewaomba wadau mbalimbali kuwasaidia kiasi cha Dola za Marekani 1500 kwa ajili ya kushiriki michuano ya wazi ya Kenya (Kenya Open) inayotarajia kufanyika mwezi huu nchini humo.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha wa timu hiyo Riziki Salum alisema wanataka kushiriki michuano hiyo ili waweze kutetea ubingwa wao walioupata mwaka jana.
Salum alisema mashindano hayo yatakuwa ya wiki moja na wanatakiwa kujigharamia kwa kila kitu kwa muda wote...
11 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-Nyv332ZXMGQ/U84BySwxNiI/AAAAAAAABaA/qbORnPl0Dug/s72-c/sumatra.jpg)
SUMATRA yalia na wanasiasa
NA MOHAMMED ISSA
MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imesema tatizo la usafiri wa pikipiki nchini linachangiwa na utashi wa kisiasa.
![](http://2.bp.blogspot.com/-Nyv332ZXMGQ/U84BySwxNiI/AAAAAAAABaA/qbORnPl0Dug/s1600/sumatra.jpg)
Mbali na hilo, imesema asilimia 99 ya watoa huduma ya usafiri wa pikipiki, hawana leseni na kwamba, hawana elimu ya usafiri.
Imesema kutokana na hali hiyo, hivi karibuni itaanza kutoa elimu nchi mzima na haitatoa leseni ya usafiri wa pikipiki kwa...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Uamsho yalia na Lukuvi
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
LHRC yalia na Sitta
Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Hellen Kijo-Bisimba.
Na Mwandishi wetu
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimemtaka Spika wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, kuacha kutaka kuwaziba midomo wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na vyombo vya habari kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka misingi ya demokrasia na utawala wa kisheria.
Hayo yamo katika taarifa ya kituo hicho iliyosomwa mbele ya waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa mchakato wa utungaji wa katiba...
9 years ago
Habarileo28 Sep
Simba ‘yalia’ na mwamuzi
UONGOZI wa timu ya Simba umemlalamikia mwamuzi Israel Nkongo aliyechezesha mechi yake ya Ligi Kuu bara dhidi ya Yanga mwishoni mwa wiki iliyopita ukidai hakutenda haki. Mbali na madai hayo, Simba pia imemlalamikia mchezaji wa Yanga Donald Ngoma kwa kumpiga kichwa mchezaji wao Hassan Kessy.
9 years ago
Mwananchi07 Oct
Ukata wamkwamisha Afande Sele