Nimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha Mume na Boyfriend-JB
Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na mwanaume wa starehe (boyfriend) na ndio maana una weza ukaenda harusini watu wakabeza aiii kampendea nn??? Anamefata hela tuu…sababu kuna vitu mnaviangalia ambavyo si sifa za mume…ni ziada tu ambayo kama itakuwepo una bahati…mume anatakiwa awe na sifa nyingi lakini kuu ni kuwa macho…masikio…mikono...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies14 Dec
Lulu:Lazima Ujue Kutofautisha Kati ya Fashion na Style
Mbali na mambo yote, hakuna anebisha kuwa muigizaji Elizabeth Michel “Lulu” ni mrembo na mara zote hakosei katika mitoko yake hasa linapokuja swala maswala ya mitindo katika uvaaji na muonekano kwa ujumla. Nadhani kwa hilo hakuna ubishi kuwa Lulu yuko vizuri.
Leo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram Lulu ameamua kutoa elimu kidogo kuhusu kutofautisha kati ya Fashion na Style
Aliandika;
"Jua Kutofautisha Kati Ya FASHION Na STYLE... Fashion z wat we buy,n STYLE z how you wear...
9 years ago
Bongo526 Oct
Man Walter aeleza kwanini wasanii wakongwe wanashindwa kufanya vizuri
10 years ago
Bongo516 Dec
Mr Blue: Nimegundua nikitulia hakuna anayeniweza Tanzania
10 years ago
Mwananchi11 Sep
PROFESA ABOUD: Nimegundua njia za kulima bila kuwa na shamba
9 years ago
Bongo519 Oct
Nimefanya utafiti, nimegundua Tanzania ina wasanii bora Afrika — Seyi Shay
9 years ago
Vijimambo11 years ago
TheCitizen04 Mar
My son hates my new boyfriend
10 years ago
Dewji Blog16 Jan
Girl Shows Her Boyfriend Who Is the Boss!
This girl was so fed up with her boyfriend, who couldn’t stop using his smartphone, that she made quite a scene in public.
The girl was photographed literally dragging her boyfriend onto the subway at the Beijing subway station and the photos went viral earning the girl the nickname, “Subway Superwoman”.
9 years ago
GPLRIHANNA AAIBISHWA NA BOYFRIEND WAKE MPYA