Mr Blue: Nimegundua nikitulia hakuna anayeniweza Tanzania
Rapper anayetamba na wimbo ‘Pesa’ amesema alichogundua na kujifunza katika muziki mwaka huu ni kuwa hakuna msanii anayeweza kumfikia hapa nchini kama akiamua kutulia. Akizungumza na Bongo5 leo, Blue amesema matokeo aliyoyapata mwaka huu katika muziki wake yamemwamsha usingizini. “Mwaka huu nimejifunza na kugundua hakuna anayeniweza Tanzania nzima ni kutulia tu na kufanya kazi zaidi,” […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Oct
Nimefanya utafiti, nimegundua Tanzania ina wasanii bora Afrika — Seyi Shay
9 years ago
Bongo Movies06 Jan
Nimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha Mume na Boyfriend-JB
Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na mwanaume wa starehe (boyfriend) na ndio maana una weza ukaenda harusini watu wakabeza aiii kampendea nn??? Anamefata hela tuu…sababu kuna vitu mnaviangalia ambavyo si sifa za mume…ni ziada tu ambayo kama itakuwepo una bahati…mume anatakiwa awe na sifa nyingi lakini kuu ni kuwa macho…masikio…mikono...
10 years ago
Mwananchi11 Sep
PROFESA ABOUD: Nimegundua njia za kulima bila kuwa na shamba
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Tanzania yathibitisha hakuna Ebola
10 years ago
Mwananchi21 Oct
‘Tanzania hakuna maabara kupima ebola’
10 years ago
BBCSwahili15 Aug
Serikali yasema hakuna Ebola Tanzania
9 years ago
Bongo528 Sep
Tanzania hakuna management kuna madalali — AT
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-vsEC-b2Dk-8/XkYhoXfIBLI/AAAAAAACykk/3PFe5nh8MXElMIUzYowi3zjtywf0IUVigCLcBGAsYHQ/s72-c/NWAMJW.png)
TANZANIA IPO SALAMA HAKUNA UGONJWA WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-vsEC-b2Dk-8/XkYhoXfIBLI/AAAAAAACykk/3PFe5nh8MXElMIUzYowi3zjtywf0IUVigCLcBGAsYHQ/s640/NWAMJW.png)
Dkt Ndugulile ametoa kauli hiyo akiwa Jijini arusha katika Ziara zake za kikazi ambapo waandishi wa habari walimuuliza juu ya tetesi za uwepo wa ugonjwa huo nchini, pamoja na kutaka kufahamu ukweli wa taarifa za mtu anayedai kuwa na dawa za ugonjwa...
10 years ago
Mwananchi29 Jan
‘Hakuna ubaya Wazanzibari kushtakiwa Tanzania Bara’