Nitaibadili Same Magharibi — Mshigati
WAKATI joto la Uchaguzi Mkuu likiendelea kupanda, watia nia nao wanazidi kushika kasi kutimiza ndoto zao kuelekea katika uchaguzi huo. Miongoni mwao ni Michael Mshigati, mwanasiasa alijitokeza kutangaza nia kuomba kupitishwa na Chama cha Wananchi (CUF) kugombea ubunge katika Jimbo la Same Magharibi.
Mwandishi Wetu CHRISTINA MWAGALA alifanya mahojiano na Mshigati kuhusu dhamira yake hiyo ya kuwa mwakilishi wa wananchi wa Same Magharibi. Endelea…
Raia Tanzania: Nini ulichopanga...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania27 Jul
AU imeisahau Sahara Magharibi?
MIAKA ya 1970 na hata mwanzoni mwa miaka ya 1980, suala la uhuru wa Sahara Magharibi lilikuwa likijadiliwa kila wakati na hasa katika mikutano ya wakuu wa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU) wa wakati ule.
Umoja huo uliounda pia chombo cha kusimamia ukombozi wa nchi za Afrika zilizokuwa zikitawaliwa bado, Kamati ya Ukombozi ya OAU, chini ya Brigedia Hashim Mbita, haukusita kuwakemea viongozi wanaotawala mataifa mengine kwa mabavu.
Lakini hali hii kwa sasa imepotea na inavyoonekana,...
11 years ago
Mwananchi15 Jul
Magharibi wanyimwa taji
9 years ago
BBCSwahili08 Oct
Mapigano Ukingo wa magharibi
10 years ago
BBCSwahili23 Aug
Mataifa ya Magharibi waishtumu Urusi
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Watafiti na dawa ya Ebola: A.Magharibi
10 years ago
Mwananchi15 Oct
Komesheni ukoloni Sahara Magharibi-UN
10 years ago
BBCSwahili14 Aug
Ebola :KQ itaendelea kuenda A.Magharibi
11 years ago
BBCSwahili12 Aug
Ebola yatikisa Afrika Magharibi
10 years ago
BBCSwahili30 Sep
Ebola:Watoto wanavyotengwa A.Magharibi