Obama atadhibiti vipi udukuzi?
Rais Barrack Obama anajiandaa kutangaza ambavyo atarudisha imani katika idara ya ujasusi nchini humo kufuatia kufichuliwa kwa taarifa za idara hiyo kufanya udukuzi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili18 Jan
Obama:Marekani kupunguza udukuzi
Rais Barack Obama ameagiza kitengo cha ujasusi nchini humo kupunguza ukusanyaji wa habari kutoka simu za raia wa nchi hiyo na wa kigeni.
11 years ago
BBCSwahili04 Jun
Ujerumani kuchunguza madai ya udukuzi
Ujerumani inachunguza madai yaliyotolewa na mtoro mmarekani, Edward Snowden kuwa Marekani ilifanyia udukuzi simu ya Chansela wa Ujerumani Angela Merkel.
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Wasiwasi wa Facebook kuhusu udukuzi
Mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg amesema kuwa amezungumza na Rais Barack Obama kumwelezea kero lake kuhusu udukuzi unaofanywa na serikali kwa mitambo ya Dijital.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Facebook yakiri kosa la 'udukuzi'
Facebook imekiri kuwa ilikosa kwa kuchunguzxa taarifa za watumiaji wa mtandao huo bila idhini yao
11 years ago
BBCSwahili18 Jul
Piga chapa kukomesha udukuzi?
Ujerumani yapendekeza kutumia piga chapa kujilinda kutokana na udukuzi. Kivipi?
10 years ago
BBCSwahili09 Sep
Watu mashuhuri walaani udukuzi
Wiki jana taarifa za watu mashuhuri zilifichuliwa kupitia akauti zao za iCloud huku picha za kibinafsi kuchapishwa
10 years ago
BBCSwahili09 Jul
Udukuzi wa Marekani dhidi ya Ujerumani
Ujerumani imeashiria kuwa Marekani imewafanyia udukuzi viongozi wake zaidi ya ilivyodhaniwa hapo awali
10 years ago
BBCSwahili10 Jul
Udukuzi wampeleka jela raia wa Israel
Mwanaume mmoja nchini Israel,amehukumiwa kifungo cha miezi kumi na nne kwa kosa la kudakua komputa za wanamuziki akiwemo Madonna.
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Google yataka ufafanuzi kuhusu Udukuzi
Kampuni kubwa ya Google Imemtaka Rais Obama afafanue pendekezo lake la kuzuia baadhi ya udukuzi unaofanywa na idara ya ujasusi nchini humo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania