Obama: Uchumi wa Afrika umeimarika sana
Rais Obama amesifu uwezo wa biashara na uchumi wa bara Afrika kwenye hotuba yake ya kwanza tangu aingie nchini Kenya siku ya Ijumaa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania12 Sep
NBS: Uchumi wa Tanzania umeimarika

Mkurugenzi wa takwimu za uchumi, Moris Oyuke
NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema katika robo ya kwanza ya mwaka huu inayoanzia Januari hadi Machi, uchumi umepanda kwa asilimia 7.4 ikilinganishwa na asilimia 7.1 katika robo ya kwanza ya mwaka jana.
Kukua huko kwa uchumi kumechangiwa na sekta za umeme na maji, mawasiliano na uchukuzi na viwanda na ujenzi.
Akizungumza jana, Mkurugenzi wa takwimu za uchumi, Moris Oyuke, alisema sekta ya umeme na maji imekua kwa...
9 years ago
Habarileo02 Jan
Uchumi wa Zanzibar umeimarika, asema Shein
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema takwimu za robo mbili za mwanzo za mwaka 2015, uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika. Alisema hayo wakati akiwahutubia wananchi wakati wa kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2016.
5 years ago
BBCSwahili20 Apr
Virusi vya corona Afrika: 'Hakuna muda wa kunasua uchumi wa Afrika' dhidi ya corona
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Ufaulu umeimarika, ubora je?
JANA, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Charles Msonde, alitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika kuanzia Mei 5 hadi 21, mwaka huu....
10 years ago
Michuzi
BAMAGA -AFRIKA SANA SINZA TAABAN KWA MAFURIKO.!

10 years ago
BBCSwahili28 Jan
Mikopo yayumbisha uchumi wa Afrika
10 years ago
GPLWAHUSIKA TAA HII ILIYOANGUKA HAMJAIONA SINZA-AFRIKA SANA?
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Marais wastaafu wajadili uchumi wa Afrika
MARAIS wastaafu sita kutoka barani Afrika walikutana mwishoni mwa wiki katika mdahalo wa kujadili mwelekeo wa uchumi wa nchi za bara hilo na watu wake. Mdahalo huo wa siku moja...