Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NBS: Uchumi wa Tanzania umeimarika

Mkurugenzi wa takwimu za uchumi, Moris Oyuke

Mkurugenzi wa takwimu za uchumi, Moris Oyuke

NA NORA DAMIAN, DAR ES SALAAM

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema katika robo ya kwanza ya mwaka huu inayoanzia Januari hadi Machi, uchumi umepanda  kwa asilimia 7.4 ikilinganishwa na asilimia 7.1 katika robo ya kwanza ya mwaka jana.

Kukua huko kwa uchumi kumechangiwa na sekta za umeme na maji, mawasiliano na uchukuzi na viwanda na ujenzi.

Akizungumza jana, Mkurugenzi wa takwimu za uchumi, Moris Oyuke, alisema sekta ya umeme na maji imekua kwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Uchumi wa Zanzibar umeimarika, asema Shein

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesema takwimu za robo mbili za mwanzo za mwaka 2015, uchumi wa Zanzibar umeendelea kuimarika. Alisema hayo wakati akiwahutubia wananchi wakati wa kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2016.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama: Uchumi wa Afrika umeimarika sana

Rais Obama amesifu uwezo wa biashara na uchumi wa bara Afrika kwenye hotuba yake ya kwanza tangu aingie nchini Kenya siku ya Ijumaa.

 

5 years ago

Michuzi

Tanzania Yafanya Vizuri Mfumuko wa Bei - NBS

 Serikali kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa mfumuko wa bei wa taifa umezidi kuimarika kwa mwaka ulioishia mwezi Februari, 2020 baada ya kubaki palepale kwenye asilimia 3.7 kama ilivyokuwa kwa mwaka ulioshia Januari 2020.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii, Bi.Ruth Minja alisema kuwa kasi ya mabadiliko ya bei za bidhaa na huduma kwa mwaka ulioushia mwezi Februari, 2020 imebaki kuwa sawa na kasi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ufaulu umeimarika, ubora je?

JANA, Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), Dk. Charles Msonde, alitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika kuanzia Mei 5 hadi 21, mwaka huu....

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Tanzania wakutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi kujadili uchumi wa Tanzania

DSCI0119

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali  Dr. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka Tanzania ulikutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia kwa Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Phippe Dongier hawapo kwenye picha kwa madhumuni ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu uchumi wa Tanzania. Kutoka kushoto ni Bw. John Cheyo ambaye ni Kamishna wa Bajeti, anayefuata ni Katibu...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

9 years ago

TheCitizen

Why Uchumi exits Tanzania, Uganda

In September 2014, Jonathan Ciano, the then Uchumi chief executive officer, told shareholders in Nairobi, Kenya it was no longer tenable for them to keep operating their branch at Freedom City Mall on Entebbe Road because it had failed to perform to expectation.

 

9 years ago

Habarileo

IMF yavutiwa na uchumi wa Tanzania

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa limevutiwa na kukua kwa uchumi wa Tanzania. Limesema uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na utaendelea kukua kwa kiwango hicho katika miezi iliyobakia mwaka huu hadi mwakani.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tanzania:Uchumi wa Raia Changamoto

Utafiti nchini Tanzania umebaini kuwa ukuaji wa uchumi hauna mchango katika maendeleo ya mtu wa kawaida

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani