Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFISI ZA MAGAZETI YA VIKATUNI PARIS ZASHAMBULIWA, 12 WAUAWA

Maofisa wa polisi jijini Paris, Ufaransa wakiwa nje ya ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Vikatuni ya Charlie Hebdo baada ya shambulizi. Ofisi za Charlie Hebdo zilizoshambuliwa leo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wengi wauawa mashambulio Paris

Ufaransa imetangaza hali ya hatari na kufunga mipaka yake baada ya watu zaidi ya 40 kuuawa kwenye mashambulio kadha mjini Paris.

 

9 years ago

GPL

WATU ZAIDI YA 150 WAUAWA KATIKA MASHAMBULIZI PARIS, UFARANSA

Mauaji katika mghahawa wa Rue Bichat, Paris Gari la huduma ya kwanza. Walionusulika katika shambulizi lililofamyika kwenye ukumbi wa Batclan. ...Wakiokolewa. Miili ya marehemu wa mashambulizi hayo. Hali ya sintofahamu mjini paris.…

 

9 years ago

Bongo5

Watu 153 wauawa kwenye matukio ya kigaidi jijini Paris, Ufaransa

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Ufaransa imetangaza hali ya tahadhari na kuimarisha ulinzi kwenye mipaka yake baada ya watu takriban 153 kuuawa jana usiku kwenye mashambulio ya mabomu na bunduki kwenye mji mkuu, Paris.

2E6C9FB000000578-3317776-Two_police_officials_said_at_least_11_people_were_killed_in_the_-a-63_1447454685404

Takriban watu 100 waliuwa baada ya watu wenye silaha kuvamia kwenye ukumbi wa Bataclan na kuwashikilia mateka.

Watu wengi walipigwa risasi na kuuawa kwenye baa na migahawa kwenye maeneo mengine matano jijini humo. Washambuliaji wanane wanadaiwa kuwa wameuawa.

2E6CE39A00000578-3317776-image-a-21_1447457824193

Wakazi wa Paris wameombwa kujifungia majumbani...

 

10 years ago

GPL

PICHA ZA SAKATA LA KUVAMIWA JARIDA LA VIKATUNI

Damu na makaratasi vikiwa vimetapakaa kila mahali katika ofisi za jarida la Charlie Hebdo  baada ya kuvamiwa na magaidi. Waandishi na wafanyakazi sita wa jarida la Charlie Hebdo waliouawa Jumatano iliyopita wakiwa katika picha ya pamoja ya mwaka 2000.  Waliozungushiwa duara ndiyo waliouawa ambao kutoka…

 

9 years ago

BBCSwahili

Lori 100 za mafuta zashambuliwa Syria

Muungano huo umeharibu zaidi ya malori 100 mashariki mwa Syria katika eneo ambalo wanamgambo wa Islamic State huendesha shughuli zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali:Hoteli zashambuliwa katika mji wa Savere

Watu waliojihami kwa bunduki wameshambulia zaidi ya hoteli mbili katika mji wa Sevare eneo la katikati mwa Mali.

 

5 years ago

Contactmusic.Com

Paris Hilton | Paris Hilton's family donate $10M towards Covid-19 relief efforts

Paris Hilton | Paris Hilton's family donate $10M towards Covid-19 relief efforts  Contactmusic.comView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS DKT.MARY NAGU ATEMBELEA OFISI ZA TASAF

 Waziri wan chi ofisi ya Rais mahusiano na uratibu Dokta Mary Nagu (aliyeketi katikati) akiwa katika picha ya pamoja na menejimenti ya TASAF kushoto kwake ni mkurugenzi mtendaji wa TASAF Ladislau Mwamanga (mwenye suti  nyeusi). Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF ,Ladislaus Mwamanga akimtembeza Waziri wan chi Ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu katika jingo linalotumiwa kuhifadhi kumbukumbu za walengwa wa Mpango wa Kunusuru kaya maskini.  Waziri wa nchi ofisi ya Rais Dokta Mary Nagu akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani