Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OH! OH! MJENGWABLOG HAIKO HEWANI....!‏

Mwenyekiti Mtendaji, Maggid Mjengwa. Ndugu zangu, Tunasikitika kuwajulisha kuwa mtandao wenu wa kihabari, picha na mijadala mliouzoea wa Mjengwablog.com hauko hewani tangu saa kumi na mbili alfajiri ya leo. Kuna tatizo la kiufundi lililo nje ya uwezo wetu. Jitihada zinafanyika kuhakikisha kuwa Mjengwablog.com inarudi hewani ndani ya saa tatu zijazo. Tunawaomba radhi kwa usumbufu. Maggid Mjengwa, Mwenyekiti...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KUNRADHI YA MJENGWABLOG KUTOKUWA HEWANI

NDUGU ZANGU,
MJENGWABLOG HAIKO HEWANI TANGU JANA SAA TATU USIKU. NI KUTOKANA NA MATATIZO YA KIUFUNDI KWENYE DATA CENTRE NCHINI MAREKANI ZINAKOHIFADHIWA.
WAHUSIKA WALIOKO KWENYE DATA CENTRE WANAFANYA KAZI KATIKA KILA DAKIKA KUHAKIKISHA HITILAFU HIYO INAREKEBISHWA HARAKA IWEZEKANAVYO.
KWA SASA UNAWEZA KUENDELEA KUTUPATA KWENYE URSTREAM KWANZAJAMII RADIO, WEBSITE KWANZAJAMII.COM, FACEBOOK: KWANZAJAMII RADIO FANS
POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI,
MAGGID...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA: MJENGWABLOG IMERUDI HEWANI!

Ndugu zangu,
Ni saa kadhaa zilizopita. Tunawashukuru wote mliotutumia jumbe na kutupigia simu kuulizia kulikoni. Mmeonyesha kujali. 

Tunaamini, kuna wengi pia ambao hawakupata nafasi ya kuulizia tatizo, lakini, kuwa wapo pamoja nasi,tunawashukuru sana. 
Unaweza sasa kutembelea
http://mjengwablog.com

 

11 years ago

Dewji Blog

Taarifa: Mjengwablog imerudi hewani saa kadhaa zilizopita

mjengwablog1

NDUGU ZANGU,

MJENGWABLOG SASA IKO HEWANI .

UNAWEZA KUITEMBELEA KUPITIA http://mjengwablog.com/

POLENI SANA KWA USUMBUFU NA TUNAWASHUKURU KWA KUENDELEA KUTUAMINI.

 

9 years ago

StarTV

Kocha wa kagera Suger akiri timu haiko sawa.

Baada ya kufungwa bao mbili kwa sifuri na mabingwa watetezi Timu ya Yanga,Kocha wa Kagera Sugar,Mohamed Richard maarufu kwa jina la Adolph,amesema timu yake ina matatizo.

Kocha huyo aliyeiongoza kwa michezo mitatu,tangu kuondoka kwa Kocha aliyekuwa akiifundisha,Mbwana Makata,amesema kuna kukosa umakini katika timu mambo ambayo atayarekebisha.

Kagera ilipoteza mchezo wake na Yanga ambapo ilichapwa magoli mawili kwa bila mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Mwinyi mjini Tabora ambapo goli la...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani?

. Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha “kiulinzi” kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari […]

The post Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani

Sunday, September 20, 2015 KAULI ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Bulembo kwamba “CCM haitafanya makosa kukabidhi Ikulu kwa wapinzani” imezua mjadala. Bulembo alitoa kauli hiyo kwenye mkutano wa kampeni […]

The post VIDEO: Chadema Yamvaa Bulembo Aliyesema CCM Haiko Tayari Kukabidhi IKULU Kwa Wapinzani appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Michuzi

Salamu Za Mwaka Mpya Kutoka Mjengwablog

Ndugu zangu,
Imekuwa ni utamaduni wangu kutuma salamu za Mwaka Mpya kwa wajumbe wangu wa Mjengwablog, marafiki zangu kwenye FB na wengine walio ndani na nje ya mitandao ya kijamii.Nimefanya hivyo tangu mwaka 2006 ilipoanzishwa Mjengwablog. Na mwaka huu naendeleza utamaduni huo.Ndugu zangu,
Naandika salamu hizi nikiwa hapa Iringa, na nikiwa na mambo mawili ya kuwaeleza; Mosi, napenda kuwahakikishia kuwa Mjengwablog/KwanzaJamii itaingia mwaka mpya wa 2016 na kasi zaidi ya mwaka jana. Tutazidisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani