Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi: Sijali kuzomewa

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Anord Okwi amewataka mashabiki wa Yanga kuacha kumzomea anapocheza kwa sababu ni kujisumbua bure, haiwezi kumzuia kucheza vizuri. Okwi aliyesajiliwa na Simba kwa mkataba wa miezi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Spurs wahofia kuzomewa

Emmanuel Adebayor, amesema wachezaji wa klabu hiyo wanahofia kuchezea nyumbani kwani wanazomewa na mashabiki wao

 

9 years ago

Mwananchi

Wahariri walaani waandishi kuzomewa

Dar es Salaam. Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limelaani tukio la wafuasi wa CCM kuwazomea waandishi wa habari wa ITV waliokwenda kufuatilia mapokezi ya Rais mteule, Dk John Magufuli katika ofisi ndogo za CCM, Lumumba, Oktoba 30.

 

11 years ago

Mwananchi

Maria Sarungi: Sikutarajia kuzomewa bungeni

Maria Sarungi ni mwanaharakati na mmoja wa wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye amejizolea umaarufu katika kipindi kifupi kutokana na msimamo wake wa kutetea haki za raia.

 

9 years ago

StarTV

Mtandao wa wanawake walaani kuzomewa kwa Dk Ackson

Mtandao wa wanawake wa Katiba na Uchaguzi  wamelaani kitendo cha baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kumuuliza maswali ya kejeli  na kumzomea Naibu Spika Wa Bunge,  Dokta Tulia Ackson na kuudhalilisha utu wa mwanamke wakati akijieleza kabla ya kupigiwa kura na kuidhinishwa na Bunge.

Wamesema kitendo hicho ni cha udhalilishaji na aibu kufanywa ndani ya chombo kikubwa cha uamuzi na baadhi ya wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi.

Akizungumzia kitendo hicho ambacho...

 

11 years ago

Habarileo

Mwalimu Mkuu aamrisha mzazi kuzomewa, kupigwa mawe

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, inadaiwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Darajani iliyoko Tabata katika Manispaa ya Ilala, Dar es Salaam kuamuru wanafunzi wake kumzomea mzazi aliyefika shuleni hapo kuhoji juu ya michango wanayodaiwa wanafunzi mara kwa mara.

 

11 years ago

Mwananchi

ANC walaani Zuma kuzomewa, wananchi wadai alistahili hilo

Chama Tawala cha Afrika Kusini, Africa National Congress (ANC) kimekasirishwa na kuzomewa kwa Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma wakati wa Ibada ya kitaifa ya heshima za mwisho kwa rais wake wa kwanza mzalendo, Mzee Nelson Mandela.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya ….

December 19 Ligi Kuu Uingereza iliendelea na moja ya mechi zilizochezwa ni ile ya Chelsea dhidi ya Sunderland, mchezo uliomalizika kwa Chelsea kuibuka na ushindi wa goli 3-1. Katika mchezo huo, mashabiki wa Chelsea walionekana kumzomea Fabregas kwa kauli yake aliyoitoa juu ya Diego Costa kuwa anachangia kupata matokeo mabovu kwa timu hiyo. Mshambuliaji Pedro Rodriguez […]

The post Baada ya Fabregas kuzomewa na mashabiki wa Chelsea, Pedro kaamua kuongea haya …. appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

UNANINI CHA KUSEMA JUU YA MANENO HAYA YA PROF ANNA TIBAIJUKA KWA WAPIGA KULA WAKE BAADA KUZOMEWA MBELE YA KINANA HUKO BUKOBA.

JE mnachuliaje uamuzi alichokua Mbunge wa Muleba Kusini (CCM) na aliewahi kuwa waziri wa Ardhi nyumba na makazi, Profesa Anna Tibaijuka jana baada ya kuzomewa mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambapo alisema haya“Kama hamnitaki siyo lazima niwe mbunge wenu, mnaruhusiwa kubadili. Huyo aliyewapa viroba asubuhi hii ili mje mnitie aibu mbele ya katibu mkuu wa chama nawaambia hiyo dhambi itawatafuna,” alisema. “Mimi sitafuti kazi na wala sina njaa... na kama hela ya kula ninayo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani