Ombaomba wote kuondolewa Dar
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri za jiji la Dar es Salaam, kuwaondoa ombaomba wote walioko katika barabara za jiji, kwani wanachangia uchafu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Sep
Ombaomba: Ijumaa ni siku ya mshahara kwetu
WAKATI Tatizo la Ombamba nchini limekuwa sugu huku jitihada za kulitatua bado hazijafanikiwa, Ombaomba mkoani Dodoma wamekiri kuwa Ijumaa yoyote kwao wameifanya kuwa siku ya mshahara hivyo watendaji wasiwabughudhi. Wakizungumza...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Mpango akataa kuwa Waziri ombaomba
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema kamwe hatapenda kuwa waziri ombaomba wa fedha, bali atahakikisha anaelekeza nguvu katika kukusanya kodi ili nchi iweze kujitosheleza kwa mapato ya ndani.
10 years ago
GPL
STEVE NYERERE: NITAKUWA MBUNGE OMBAOMBA!
11 years ago
Tanzania Daima04 Apr
Operesheni safisha jiji yawageukia ombaomba
OPERESHENI ya kusafisha jiji ili kuwaondoa wafanyabiashara wadogo (wamachinga) kwenye maeneo yasiyo rasmi, imewageukia watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na ombaomba. Operesheni hiyo inaendeshwa na Halmashauri ya Wilaya ya Ilala,...
11 years ago
GPL
MWAKIFWAMBA ATAJA SABABU YA MASTAA KUWA OMBAOMBA
10 years ago
Mwananchi13 May
‘Nikipata viungo bandia naacha kuwa ombaomba’
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
TANGAZO KWA UMMA, MAWAKILI NA WADAU WOTE WA MAHAKAMA KUU, KANDA YA DAR ES SALAAM

TUNAPENDA KUTOA TAARIFA RASMI KUWA KUANZIA TAREHE 1 JULAI, 2015 SHUGHULI ZA USIKILIZAJI WA MASHAURI KWA NJIA YA USULUHISHI (ALTERNATIVE DISPUTE RESOLUTION – ADR) ZIMEHAMIA KWENYE JENGO LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC HOUSE), GHOROFA YA TATU MTAA WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM. JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA PIA NA MAHAKAMA KUU, DIVISHENI YA ARDHI.
KWA MAELEZO NA UFAFANUZI PIGA SIMU NA. 022 2111131 AU 022 2110927 AU 0754 454600 NA BARUA PEPE...
11 years ago
Tanzania Daima01 Jun
Vipi kila ukutanapo na watu wengine wewe ni ombaomba tu?
"OOHOOO, afadhali nimekuona, sasa nitapata elfu ya karibu" hayo ni baadhi ya maneno ambayo siku hizi yamekuwa ni kama sala kwa jinsi yalivyo ya kawaida kutamkwa na baadhi ya watu...