Pasua majipu yatua Narco
WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba amemsimamisha Kazi Mkurugenzi Mkuu wa Ranchi za Taifa pamoja na Wakurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) kutokana na madai ya ubadhirifu wa fedha.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen28 Oct
PAC: Don’t recapitalize Narco
11 years ago
Daily News30 May
Team formed to evaluate NARCO land use plan for possible review
Daily News
A TEAM has been formed to evaluate land use in all the areas under the ownership of National Ranching Company (NARCO) for the possible review of land use plans, the Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, has said. Premier Pinda told the National Assembly ...
5 years ago
BBC28 May
Cocaine and Guinea-Bissau: How Africa's 'narco-state' is trying to kick its habit
9 years ago
StarTV05 Jan
Waziri Mwigulu aisimamisha bodi ya NARCO kwa Ubadhilifu Ranchi Ya Taifa
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ameisimamisha kazi Bodi ya Kampuni ya Ranchi za Taifa kutokana na kinachodaiwa kushindwa kusimamia majukumu yake yakiwepo ya manunuzi na usimamiaji wa ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kampuni hiyo iliyopo Ruvu Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani.
Bodi hiyo inadaiwa kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya Bilioni 3 zilizotolewa na Serikali kwa ajili ya ujenzi wa machinjio ya kisasa ya kimataifa ambayo yangetumia shilingi bilioni 10.7...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Jla_S9maI84/XptHJh8J1sI/AAAAAAALnXQ/dRjggnBtwHo1-kFmTWBUOsAWZrVUv95pQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-04-18%2Bat%2B7.18.51%2BPM.jpeg)
PROF OLE GABRIEL AIAGIZA NARCO KUHAKIKISHA NCHI INAKUA NA MIFUGO YA KUTOSHA KIPINDI HIKI CHA CORONA
Prof Ole Gabriel ameyasema hayo leo alipofanya ziara katika Wilaya...
10 years ago
Tanzania Daima16 Nov
Urais pasua kichwa
RIPOTI ya utafiti ya Taasisi isiyo ya kiserikali ya Twaweza yenye kichwa cha habari, ‘Tanzania kuelekea 2015’, imevuruga mijadala ya kitaifa inayoendelea nchini. Ripoti hiyo iliyozinduliwa Dar es Salaam wiki...
9 years ago
Mtanzania21 Nov
Magufuli – Nitapasua majipu
Agatha Charles na Aziza Masoud
RAIS John Magufuli jana alilizindua Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano kwa kurejea mambo aliyoyaahidi wakati wa kampeni zake za urais huku akijipa jukumu jipya aliloliita la kupasua majipu.
Katika hotuba yake ya uzinduzi wa Bunge hilo iliyochukua muda wa masaa mawili, Rais Magufuli alisisitiza kuwa amejipa kazi ya kupasua majipu yanayoitesa serikali ili kuijenga upya Tanzania na kurejesha matumaini yaliyopotea ya Watanzania.
Hotuba hiyo ambayo ni ya kwanza...
10 years ago
Mtanzania15 Jan
Lowassa ni pasua kichwa (2)
![Edward Lowassa](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Edward-Lowassa-300x193.jpg)
Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa
Na Absalom Kibanda,
TAIFA linazidi kujongea kuelekea katika kilele cha kelele za shangwe na majonzi yatakayotokana na uteuzi wa wagombea na baadaye matokeo ya ama kushinda au kushindwa katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
Kwa maneno mengine, hali hiyo inaeleza kuwadia kwa msimu wa Uchaguzi Mkuu ambao kwa utamaduni wa miaka ya hivi karibuni hutawaliwa na kila aina ya vituko vinavyohusisha na kugusa watu...
10 years ago
Mtanzania20 Dec
Escro Pasua Kichwa
Elizabeth Mjatta na Aziza Masoud,Dar es Salaam
KAULI ya Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka kwamba hatojiuzulu na kwamba yeye na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo bado wanategemewa na Rais Jakaya Kikwete imeonekana kutibua nyongo za wasomi, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali.
Mbali na wasomi, wanasiasa na watu wa kada mbalimbali waliozungumza na gazeti hili, kuhusiana na kauli hiyo aliyoitoa juzi mbele ya waandishi wa habari...